SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KWA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI MJINI DODOMA.

  Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mchezaji wa timu ya Bunge William Ngeleja (kushoto) wakati akikagua vikosi vya...


 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mchezaji wa timu ya Bunge William Ngeleja (kushoto) wakati akikagua vikosi vya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani kabla ya kuanza kwa mechi yao iliyofanyika leo katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akionyesha zawadi ya jezi ya timu ya Taifa ya Marekani aliyopewa na Mchezaji wa timu ya FC GRACE UNITED STATES Ndg. Robert Allen (kushoto) kabla ya kuanza kwa mechi kati ya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia)akikabidhiwa jezi na Mchezaji wa timu ya FC GRACE UNITED STATES Ndg. Robert Allen (kushoto) kabla ya kuanza kwa mechi kati ya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kulia) akifurahia jambo na Mchungaji Vicent Valentyn kutoka Afrika kusini (wa tatu kulia) wakati wakifuatilia mechi kati ya timu ya Bunge pamoja na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akikabidhiwa Mipira kutoka kwaq Robert Allen kwa ajili ya timu ya Bunge, kabla ya kuanza kwa mechi kati ya timu ya Bunge na timu ya FC GRACE UNITED STATES kutoka nchini Marekani  iliyofanyika leo uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KWA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI MJINI DODOMA.
SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KWA MECHI KATI YA TIMU YA BUNGE NA FC GRACE UNITED STATES KUTOKA NCHINI MAREKANI MJINI DODOMA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjItyGFXtJzQ_piKpOVTzvZwaA5cYQJ3_ju2GdRAZhfJ1Yp6pLDPnrALqOSJQOM0DIODLfaOa-hhELZ9GifViLHQeSNwlGZWtp9vDe3mfvOoEmvIjbO3eCbnsF4O9lDXlh-VhcfeWPVAx4/s640/IMGL6974.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjItyGFXtJzQ_piKpOVTzvZwaA5cYQJ3_ju2GdRAZhfJ1Yp6pLDPnrALqOSJQOM0DIODLfaOa-hhELZ9GifViLHQeSNwlGZWtp9vDe3mfvOoEmvIjbO3eCbnsF4O9lDXlh-VhcfeWPVAx4/s72-c/IMGL6974.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/spika-ndugai-aongoza-wabunge-kwa-mechi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/spika-ndugai-aongoza-wabunge-kwa-mechi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy