SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM

SHIRIKA la Posta na Simu chini ya uongozi mpya, imejinyakulia tuzo ya mshindi wa kwanza wa watoa huduma bora kutoka taasisi za umma na ...


SHIRIKA la Posta na Simu chini ya uongozi mpya, imejinyakulia tuzo ya mshindi wa kwanza wa watoa huduma bora kutoka taasisi za umma na binafsi, zinazoshiriki maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, yaliyofunguliwa rasmi na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Julai 1, 2017. Maonesho hayo ya kila mwaka yameandaliwa na Mamlaka ya Uendelezaji Bishara Tanzania (TanTrade).
Pichani juu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania,
 Deo Kwiyukwa (katikati), akiwa amekamata tuzo hiyo pamoja na wafanyakazi wa shirika hilo kwenye banda lao.
Bw. Kwiyukwa (kushoto), akiwakabidhi tuzo hiyo wafanyakazi wenzake baada ya kupokea toka kwa Rais Magufuli.


 Wafanyaakzi wa Shirika la Posta Tanzania, wakiwahudumia wananchi waliotembelea banda la shirika hilo kwenye banda kuu la Jakaya Kikwete.
 Wafanyaakzi wa Shirika la Posta Tanzania, wakiwahudumia
wananchi waliotembelea banda la shirika hilo kwenye banda kuu la Jakaya
Kikwete.
Bw. Kwiyukwa, (Kushoto), akifurahia jambo na Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano na elimu kwa umma, wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Sara Kibonde Msika, (kulia) na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na uhusiano
wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Laura Kunenge.
Bw. Kwiyuka akipongezwa na Bi Laura Kunenge wa WCF, baada ya kutwaa tuzo hiyo

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM
SHIRIKA LA POSTA LAIBUKA KIDEDE KWA WATOA HUDUMA BORA KUTOKA TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI KWENYE MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM
https://2.bp.blogspot.com/-vya9Gztjbv0/WVexA7HjJAI/AAAAAAAA3hA/3UFnYB5wits9uDlSh_lzk5qrqqG4nEiJACEwYBhgL/s640/5R5A8023.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-vya9Gztjbv0/WVexA7HjJAI/AAAAAAAA3hA/3UFnYB5wits9uDlSh_lzk5qrqqG4nEiJACEwYBhgL/s72-c/5R5A8023.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/shirika-la-posta-laibuka-kidede-kwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/shirika-la-posta-laibuka-kidede-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy