F RC KILIMANJARO, MHE. ANNA MGWIRA, AIPONGEZA PSPF KWA KUENDESHA MAFUNZO KW WASTAAFU WATARAJIWA | Okandablogs

Saturday, July 1, 2017

RC KILIMANJARO, MHE. ANNA MGWIRA, AIPONGEZA PSPF KWA KUENDESHA MAFUNZO KW WASTAAFU WATARAJIWA


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira, akipokea kadi ya uanachama wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kupitia mpango wa hiari (PSS), kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, wakati wa semina ya wastaafu watarajiwa mkoani Kilimanjaro Juni 30, 2017.


 Bw. Mayingu akitoa hotuba yake
 Mhe. Anna Ngwira, Mkuu wa Mkaow a Kilimanjaro, akionyesha kadi yake ya uanachama wa PSPF kupitia mpango wa PSS.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira, akiagana
na wanachama wasitaafu watarajiwa,wa mfuko wa pesheni wa PSPF, mara baada ya kufungua semina hiyo Mkoa wa Kilimanjaro Juni 30, 2017Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PSPF.
 Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo
Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro

0 comments:

Post a Comment