RAIS DKT MAGUFULI ASALI CHATO NA KUCHANGISHA KWA AJILI YA UJENZI WA KANISA

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada ya ...

Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita, leo Julai 16, 2017. 
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Janeth Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry Mulinganisa wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita, leo Julai 16 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita leo 16 Julai 2017.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea sadaka toka kwa Mke wake, Mama Janeth Magufuli wakati wa kuchangia ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita, leo Julai 16, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea sadaka kutoka kwa waumini wakati wa kuchangia ujenzi na upanuzi wa katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa ameshika kikapu chenye michango ya fedha zilizotolewa na waumini wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita kwa ajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa hilo, leo Julai 16, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Mwita Chacha mara baada ya kuchangia mifuko mitano ya saruji kwaaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita .

Mama Janeth Magufuli mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiahidi mchango wake wa ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Deogratius Ambrosi mwenye ulemavu wa mkono,akitoa mchango wake wa kiasi cha shilingi elfu tano kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru mmoja wa waumini wa kanisa hilo ndugu Deogratius Ambrosi mwenye ulemavu wa mkono,akitoa mchango wake wa kiasi cha shilingi elfu tano kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru waumini walioshiki kuchangia ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita, ambapo zilikusanywa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni kumi na tatu pamoja na ahadi mbalimbali za vikiwemo vifaa vya ujenzi. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiwa nje ya kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita, ambalo linaendelea kupanuliwa na kujengwa hapo akielekea kuwasalimia waumini walio kuwa nje ya kanisa na kuwaaga baada ya ibada. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiondoka kwenye kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita, mara baada ya ibada.

Katibu wa Rais Ndugu Ngusa Samike (kushoto) akikabidhi mchango wa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli jumla ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita.Waumini wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita wakiwa kwenye ibada.


Jengo la kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita linaloendelea kupanuliwa na kujengwa

Waumini wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita wakitoka kwenye ibada ya Jumapili. (PICHA NA IKULU)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT MAGUFULI ASALI CHATO NA KUCHANGISHA KWA AJILI YA UJENZI WA KANISA
RAIS DKT MAGUFULI ASALI CHATO NA KUCHANGISHA KWA AJILI YA UJENZI WA KANISA
https://3.bp.blogspot.com/-gLF2bqdP3lQ/WWtL8nUQZdI/AAAAAAAJsUw/BNWhe6Jwfxc3QE_Q_sXcnaAjFwhijqN4ACLcBGAs/s640/1%2B%25281%2529.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-gLF2bqdP3lQ/WWtL8nUQZdI/AAAAAAAJsUw/BNWhe6Jwfxc3QE_Q_sXcnaAjFwhijqN4ACLcBGAs/s72-c/1%2B%25281%2529.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-asali-chato-na.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/rais-dkt-magufuli-asali-chato-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy