Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akifungua mradi mkubwa wa maji katik...
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
viongozi wengine akifungua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha
Nyamazugo Wilayani Sengerema. Mradi huo unatarajiwa kuhudumia wakazi wa
Sengereza kwa asilimia 100 tofauti na asilimia 33 ya awali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
maelezo ya mradi huo mkubwa wa maji kutoka kwa Mhandisi wa Mamlaka ya
Maji safi na Usafi wa Mazingira Antony Sanga wakati alipoanza ukaguzi wa
mradi huo kabla ya kuufungua.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Waziri wa Maji Eng. Gerson Lwenge wakati akielekea kukagua
mradi wa maji katika kijiji cha Nyamazugo Wilayani Sengerema. Mradi huo
unatarajiwa kuhudumia wakazi wa Sengereza kwa asilimia 100 tofauti na
asilimia 33 ya awali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
kabla ya kufungua mradi huo wa maji Wilayani Sengerema.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa Kada maarufu wa CHADEMA kanda ya
Ziwa Hamis Tabasamu mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji katika
kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono na waandishi wa habari mbalimbali wa mkoani Mwanza
ambao walishiriki katika kazi ya ufunguzi wa mradi mkubwa wa maji katika
kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mwenyekiti wa Kamati ya amani ya Mkoa wa Mwanza Sheikh Hassan Kabeke
mara baada ya kufungua mradi huo wa maji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wakazi wa Sengerema mjini wakati akielekea Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa Kada maarufu wa CHADEMA kanda ya
Ziwa Hamis Tabasamu wakati akihutubia wakazi wa Sengerema mara mara
baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo,
Sengerema mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wanafunzi wa Sekondari mara baada ya kuhutubia wakazi wa
Sengerema vijijini wakati akielekea kuzindua mradi wa Maji.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wakazi wa Geita mara baada ya kuwasili mkoani humo.
PICHA NA IKULU
COMMENTS