F RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATEMBELEA SHULE YA SEMINARI KATOKE ALIYOSOMA | RobertOkanda

Wednesday, July 19, 2017

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATEMBELEA SHULE YA SEMINARI KATOKE ALIYOSOMA


Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Akimuonyesha Mkewe Mama Janeth Magufuli kitanda alichokuwa akitumia kulala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya seminari katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera, ambapo amemweleza mkewe kuwa alivunja hilo dirisha na mpaka leo halikutengenezwa ambapo leo hii amekabidhi kiasi cha shilingi milioni moja ili kukarabati dirisha na madirisha mengine ya shule hiyo, Mh Rais yupo mkoani Kagera kwa ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akiingia kwenye  Bweni alilokuwa akilala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya seminari katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 Julai 2017
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiongea na Wanafunzi Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 Julai 2017. 
 
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akisalimiana na kuwaaga Wanafunzi Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 Julai 2017.

0 comments:

Post a Comment