NI HUZUNI NA MAJONZI MAKAMU WA RAIS AKIONGOZA WATANZANIA KUAGA MWILI WA LINAH, ALIYEKUWA MKE WA DKT. MWAKYEMBE

Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Viongozi mbalimbali wa Serikali,ndugu jamaa na Marafiki katika kut...Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Viongozi mbalimbali wa Serikali,ndugu jamaa na Marafiki katika kutoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa Marehemu Linah George Mwakyembe, mapema leo katika kanisa la KKKT Kunduchi, jijini Dar es Salaam. Marehemu Linah Mwakyembe aliyefariki mwisho mwa wiki anatarajiwa kusafirishwa leo jioni kwenda wilayani Kyela mkoani Mbeya kwa mazishi.
 
Waziri wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Harisson Mwakyembe akiwa samnjari na familia yake ndani ya kanisa la KKKT Kunduchi wakishiriki kwa pamoja misa ya kuaga mwili wa Marehemu Linah Mwakyembe aliyefariki mwishoni mwa wiki.
 
Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan akimpa mkono wa pole kwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Harisson Mwakyembe,kufuatia kifo cha mke wake mpendwa Linah Mwakyembe,kilichotokea mwishoni wa wiki jijini Dar. 
 
Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan akitoa salamu za pole wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Linah George Mwakyembe,mapema leo katika kanisa la KKKT Kunduchi,jijini Dar. Marehemu Linah Mwakyembe aliyefariki mwisho mwa wiki anatarajiwa kusafirishwa leo jioni kwenda wilayani Kyela mkoani Mbeya kwa mazishi.
Misa ya kuaga mwili wa Marehemu Linah George Mwakyembe ikiendelea mapema leo katika kanisa la KKKT Kunduchi jijini Dar. Marehemu Linah Mwakyembe aliyefariki mwisho mwa wiki anatarajiwa kusafirishwa leo jioni kwenda wilayani Kyela mkoani Mbeya kwa mazishi.
Baadhi ya Viongozi wa chama na Serikali wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kuaga mwili wa Marehemu Linah George Mwakyembe,mapema leo katika kanisa la KKKT Kunduchi,jijini Dar. Marehemu Linah Mwakyembe aliyefariki mwisho mwa wiki anatarajiwa kusafirishwa leo jioni kwenda wilayani Kyela mkoani Mbeya kwa mazishi.
Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akimfariji Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Harisson Mwakyembe kufuatia kuondokewa na mke wake Linah Mwakyembe mwishoni mwa wiki.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NI HUZUNI NA MAJONZI MAKAMU WA RAIS AKIONGOZA WATANZANIA KUAGA MWILI WA LINAH, ALIYEKUWA MKE WA DKT. MWAKYEMBE
NI HUZUNI NA MAJONZI MAKAMU WA RAIS AKIONGOZA WATANZANIA KUAGA MWILI WA LINAH, ALIYEKUWA MKE WA DKT. MWAKYEMBE
https://2.bp.blogspot.com/-XIMDHrMrpaA/WW30DK294FI/AAAAAAAJsjI/2zhj7Rj7D102TLiMaoioZ7AF9sIpglMFgCLcBGAs/s640/1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-XIMDHrMrpaA/WW30DK294FI/AAAAAAAJsjI/2zhj7Rj7D102TLiMaoioZ7AF9sIpglMFgCLcBGAs/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/ni-huzuni-na-majonzi-makamu-wa-rais.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/ni-huzuni-na-majonzi-makamu-wa-rais.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy