MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pe...



Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe   wakati alipotembelea katika banda la Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwenye viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akifurahia jambo na Varerian Mablanketi Mkurugenzi wa Huduma kwa wanachama LAPF kulia  katikati ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe na kushoto ni mmoja wa wafanyakazi wa mfuko huo.




Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakati alipotembelea katika banda hilo kutoka kulia ni Rehema Mkamba Afisa Mawasiliano Mwandamizi LAPF na wa pili ni Varerian Mablanketi Mkrugenzi wa Huduma kwa wanachama LAPF.


Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga, Varerian Mablanketi Mkurugenzi wa Huduma kwa wanachama LAPF na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakijadiliana mambo kadhaa huku wakifuatilia huduma mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wafanyakazi wa mfuko katika banda hilo.


Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea banda hilo.


Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF  Bw. Eliudi Sanga akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea banda hilo.


Baadhi ya wananchi waliofika katika banda hilo wakiendelea kupata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa mfuko huo.


Baadhi ya wananchi waliofika katika banda hilo wakiendelea kupata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa mfuko huo. (Imeandaliwa na Fullshangwe blog)


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA
MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI LAPF BW.ELIUDI SANGA ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghfOhCJtfRXlkOrCI1yjyDVXTDwhN-ZeUpEOiFrK9CdpS0Glqwb6_ZSLNKvhjk4tSX27LK5Ab4BFMmSrRLWGtSInTGeJqJefiqCG8_ua2SsTXxrZziR7G3bAadzWNWx1H3noW77rQGOO8/s640/2-51.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEghfOhCJtfRXlkOrCI1yjyDVXTDwhN-ZeUpEOiFrK9CdpS0Glqwb6_ZSLNKvhjk4tSX27LK5Ab4BFMmSrRLWGtSInTGeJqJefiqCG8_ua2SsTXxrZziR7G3bAadzWNWx1H3noW77rQGOO8/s72-c/2-51.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mkurugenzi-mkuu-wa-mfuko-wa-pensheni.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mkurugenzi-mkuu-wa-mfuko-wa-pensheni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy