MASAUNI AWAASA MADEREVA KUZINGATIA SHERIA ILI KUEPUSHA AJALI ZA BARABARANI

Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad M...


Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiongoza maandamano ya Mabalozi wa Usalama Barabarani kuingia Uwanja wa Mashujaa, wakiadhimisha siku yao iliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma. Kulia ni Katibu Mtendaji wa baraza hilo,Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, DCP Mohamed Mpinga. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
 
Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mabalozi wa Usalama Barabarani ambapo aliwaasa madereva kufuata sheria ili kuweza kupunguza tatizo la ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikisababisha vifo na kuacha idadi kubwa ya wahanga wa ajali hizo.Wapili kushoto ni Katibu Mtendaji wa baraza hilo,Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, DCP Mohamed Mpinga na anayefuatia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa. Maadhimisho hayo yamefanyika kitaifa Uwanja wa Mashujaa, leo mkoani Dodoma.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambae pia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini,DCP Mohamed Mpinga, akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mabalozi wa Usalama Barabarani ambapo aliwaasa askari wa usalama barabarani kusimamia sheria ili kuweza kupunguza tatizo la ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikisababisha vifo na kuacha idadi kubwa ya wahanga wa ajali hizo.Kulia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na kulia ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma,Lazaro Mambosasa. Maadhimisho hayo yamefanyika kitaifa Uwanja wa Mashujaa,leo mkoani Dodoma.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambo sasa akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mabalozi wa Usalama Barabarani ambapo aliwashukuru mabalozi hao kuchagua mkoa wa Dodoma kufanyia maadhimisho hayo na kuahidi kuelimisha watumiaji wa vyombo vya moto sheria na kanuni za usalama barabarani ikiwa anaongoza mkoa ambao ni Makao Makuu ya nchi .Wakwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambae pia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, DCP Mohamed Mpinga. Maadhimisho hayo yamefanyika kitaifa Uwanja wa Mashujaa, leo mkoani Dodoma.
Mabalozi wa Usalama wa Barabarani wakifuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mabalozi wa Usalama Barabarani ambapo aliwaasa madereva kufuata sheria ili kuweza kupunguza tatizo la ajali za barabarani ambazo zimekuwa zikisababisha vifo na kuacha idadi kubwa ya wahanga wa ajali hizo. Maadhimisho hayo yamefanyika kitaifa Uwanja wa Mashujaa, leo mkoani Dodoma.

Msanii Faustine Matina ambae ni Balozi wa Usalama Barabarani, akiimba wimbo wa kuhimiza masuala ya kuzingatia sheria za usalama barabarani wakati wa Siku ya Maadhimisho ya Mabalozi wa Usalama Barabarani, iliyofanyika kitaifa leo katika Uwanja wa Mashujaa, mkoani Dodoma.
Mhanga wa ajali anayefahamika kwa jina la Mpemba Asilia, akizungumza na Mabalozi wa Usalama Barabarani, alipofika katikaMaadhimisho ya Mabalozi wa Usalama Barabarani yaliyofanyika kitaifa leo katika Uwanja wa Mashujaa,mkoani Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watano kulia),akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mabalozi wa Usalama Barabarani wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mabalozi wa Usalama Barabarani yaliyofanyika kitaifa Uwanja wa Mashujaa,leo mkoani Dodoma.Wasita kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambae pia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, DCP Mohamed Mpinga

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MASAUNI AWAASA MADEREVA KUZINGATIA SHERIA ILI KUEPUSHA AJALI ZA BARABARANI
MASAUNI AWAASA MADEREVA KUZINGATIA SHERIA ILI KUEPUSHA AJALI ZA BARABARANI
https://3.bp.blogspot.com/-B84tjZYjAGQ/WWHfcXpbTFI/AAAAAAAJrb8/4VwY-XHFLQsftzFSH29oP_U8V0lndW-DACLcBGAs/s640/uni1.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-B84tjZYjAGQ/WWHfcXpbTFI/AAAAAAAJrb8/4VwY-XHFLQsftzFSH29oP_U8V0lndW-DACLcBGAs/s72-c/uni1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/masauni-awaasa-madereva-kuzingatia.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/masauni-awaasa-madereva-kuzingatia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy