MAONESHO YA SABASABA 2017: WATU ZAIDI YA 500 WATEMBEELA BANDA LA PSPF, ASILIMIA 70 YA HAO WAJIUNGA NA PSS

Mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akipitia taarifa ya michango yake, baada ya kukabidhiwa na Maafisa wa Mfuko huo, alipotembelea ...



Mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akipitia taarifa ya michango yake, baada ya kukabidhiwa na Maafisa wa Mfuko huo, alipotembelea banda la PSPF kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, leo Julai 12, 2017. Wakati wa maonesho hayo yakitarajiwa kufikia kilele kesho Alhamisi Julai 13, 2017, zaidi ya watu 500 wametembeela banda la Mfuko huo hadi mchana huu na kati ya hao asilimia 70 walifika kujiunga na Mpango wa uchangiaji wa Hiari, (PSS), unaomuwezesha mwananchi yeyote ambaye anafanya kazi za kumuingizia kipato kuwa mwanachama. Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Bw. Abdul Njaidi, alisema na kuongeza faida za mwanachama kujiunga na PSS, ni pamoja na kupata bima ya afya. (NA K-VIS BLOG/Khalfan Said)
 Afisa Msaidizi wa Uendeshaji wa PSPF, Mussa Mfaki akimkabidhi kadi ya kujiunga na PSPF kupitia Mpango wa uchangiaji wa Hiari, PSS, Damare B. Nampwani, Julai 12, 2017.
 Bi.Damare B. Nampwani, akionyesha kadi yake baada ya kukabidhiwa.
 Mwananchi akijaza fomu ya lujiunga na PSPF kupitia Mpango wa PSS, huku Mwanasheria kutoka Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti MHifadhi ya Jamii, (SSRA), Bi.Imani Masebu, (kulia), na Mhandisi Ally Shanjirwa, (katikati), wakishuhudia.
 Mwananchi akionyesha dole gumba baada ya kujaza fomu.


 Mwananchi akijaza fomu.
 Afisa Michango wa PSPF, Bw. Noah Amri, akiwa kwenye mashine ya kutoa vitambulisho vya papo kwa hapo.
 Afisa Uhusiano wa PSPF, Bi. Coleta Mnyamani, (kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama ya PSPF, Afisa wa Polisi wa Usalama Barabarani, David S.Mlilo.
 Afisa Uhusiano wa PSPF, Bi. Coleta Mnyamani, (kulia),
akimkabidhi kadi ya uanachama ya PSPF, Afisa wa Polisi wa Usalama
Barabarani, Salvatory A. Chacky.
 Moja ya faida azipatazo Mwanachama wa PSPF,ni kuwa na uwezo wa kukopa kiwanja cha ujenzi wa nyumba na hapa ni Afisa Mipango Miji kutoka kampuni mshirika ya Adhi Plan Limited, Bi. Anna Lukando, (kulia), akimpatia maeelzo ya jinsi gani mwanachama anaweza kupata mkopo wa kiwanja au kununua kabisa.
Hiki ndio kikosi kazi cha PSPF ambacho kwa takriban wiki moja na nusu kimekuwa kikitoa huduma kamambe kwenye banda la Mfuko huo kwenye jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, ambako kumekuwa na maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. Kutoka kushoto waliosimama ni Isack Kimaro, Mussa Mfaki, Chaula Miteko, Mhandisi Ally Shanjirwa, Abdul Njaidi, Noah Amri,Win-God, Bw.Msina. Waliokaa kutoka kushoto, ni Bi. Coleta Mnyamani, Bi. Mariam Saleh, Bi. Irine Musetti na Bi. Asmahan H.Haji.
Win-God, (kushoto), Afisa wa uendeshaji msaidizi wa PSPF, akiwahudumia wananchi waliofika banda la Mfuko huo leo Julai 12, 2017.
 Afisa Uendehsji wa PSPF, Bw. Isack Kimaro, (kulia), akiagana na Mwananchi huyu aliyefika kupatiwa huduma
Afisa Uendeshaji wa PSPF, anayeshughulikia Mpango wa Uchangiaji wa Hiari, (PSS), Bi. Asmahan Haji (kulia), akimsaidia mwanachama huyu wa PSPF kuelewa michango yake.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAONESHO YA SABASABA 2017: WATU ZAIDI YA 500 WATEMBEELA BANDA LA PSPF, ASILIMIA 70 YA HAO WAJIUNGA NA PSS
MAONESHO YA SABASABA 2017: WATU ZAIDI YA 500 WATEMBEELA BANDA LA PSPF, ASILIMIA 70 YA HAO WAJIUNGA NA PSS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZ2PBU8UqFKI5ICyDSYaT6mhSGNHV1dS_ehu4I6qgqT7k1CFLP0OW1NqxiLr4kYyhXGQjv-UK84dvoOUKlDtL5mUXa5Z4imAdMRI49FNJndk7Wv0-6oOxAPRzVlV0MBhYBfet_zsgX06MR/s640/5R5A9452.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZ2PBU8UqFKI5ICyDSYaT6mhSGNHV1dS_ehu4I6qgqT7k1CFLP0OW1NqxiLr4kYyhXGQjv-UK84dvoOUKlDtL5mUXa5Z4imAdMRI49FNJndk7Wv0-6oOxAPRzVlV0MBhYBfet_zsgX06MR/s72-c/5R5A9452.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/maonesho-ya-sabasaba-2017-watu-zaidi-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/maonesho-ya-sabasaba-2017-watu-zaidi-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy