MAMLAKA YA UDHIBITI WA UNUNUZI KATIKA SEKTA YA UMMA (PPRA), YATOA ELIMU MAONESHO YA SABASABA

Meneja Usimamizi na Utawala wa Mifumo ya TEHAMA, wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi katika Sekta ya Umma (PPRA), Bernard Ntelya  (kul...


Meneja Usimamizi na Utawala wa Mifumo ya TEHAMA, wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi katika Sekta ya Umma (PPRA), Bernard Ntelya  (kulia), akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensehni wa PPF, William Erio, alipotembeela banda la Mamlaka hiyo Julai 2, 2017.








NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi katika Sekta ya Umma, (PPRA), kama zilivyo taasisi nyingine za serikali,
imeweka banda lake kwenye jingo la Wizara ya Fedha na Mipango, wakati huu wa maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Viongozi na maafisa wa juu wa serikali wamepata fursa ya kutembelea banda hilo ili kujua huduma wanazotoa kwenye banda hilo, ambapo maafisa wa PPRA, wamekuwa wakitoa
elimu na kugawa vipeperushi vyenye maeelzo mbalimbali ya kazi za Mamlaka hiyo, lakini na taarifa zinazoeleza sheria ya manunuzi ya umma na umuhimu wake.
Mamlaka hiyo imeanzishwa kwa sheria ya manunuzi ya Umma CAP 410 kama ilivyobadilishwa na Sheria ya Manunuzi ya Umma ya namba 7 ya mwaka 2011 ambayo inatoa Mamlaka ya
kusimamia manunuzi ya umma kwa taasisi zote za Umma (Serikali), upande wa Tanzania Bara.
Kwa mujibu wa maafisa wa PPRA walioko kwenye banda hilo, wanasema, malengo makuu ya PPRA ni kuhakikisha manunuzi yote kwenye taasisi za umma, yanafanyika kwa usawa katika shindani, uwazi, bila unyanyasaji ili mwisho wa siku watoa huduma watoe huduma inayolingana na thamani ya fedha wanazolipwa kwa maendeleo ya taifa, (Value for Money).
Aidha wamesema, PPRA inao wajib u wa kuweka viwango katika mfumo wa manunuzi ya umma katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (upande wa Tanzanani Bara).


Afisa Mwandamizi wa PPRA, Mcharo Mrutu (kulia), akimpatia vipeperushi vyenye taarifa mbalimbali za PPRA, Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Bw. Mrutu (kulia), akizungumza na Mwananchi huyu aliyetembelea banda la Mamlaka hiyo.
Bw. Ntelya (kushoto), akifafanua jambo kwa mwananchi huyu aliyefika kujua shughuli za PPRA

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAMLAKA YA UDHIBITI WA UNUNUZI KATIKA SEKTA YA UMMA (PPRA), YATOA ELIMU MAONESHO YA SABASABA
MAMLAKA YA UDHIBITI WA UNUNUZI KATIKA SEKTA YA UMMA (PPRA), YATOA ELIMU MAONESHO YA SABASABA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4WfmgUPG2SRrkLVeLnFOaZALQ2TqvB0G0eNu6JurKwiwP-K0wrErEGpIQzi-gTPF2g3QkjTT0O3JwYRjq22hI3-N16q9Q9VhtddcsfKV5ZgoYRMlE3hakCYuliVLDmeQRto2jgR99swk/s640/5R5A8481.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4WfmgUPG2SRrkLVeLnFOaZALQ2TqvB0G0eNu6JurKwiwP-K0wrErEGpIQzi-gTPF2g3QkjTT0O3JwYRjq22hI3-N16q9Q9VhtddcsfKV5ZgoYRMlE3hakCYuliVLDmeQRto2jgR99swk/s72-c/5R5A8481.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mamlaka-ya-udhibiti-wa-ununuzi-katika.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mamlaka-ya-udhibiti-wa-ununuzi-katika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy