MAMIA WAFURIKA BANDA LA PSPF MAONESHO YA SABASABA YA 41 JIJINI DAR ES SALAAM

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said MAMIA ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake (pichani juu), wamefurika kwenye banda la PSPF ...





NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MAMIA ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake (pichani juu), wamefurika kwenye banda la PSPF kwenye maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es
Salaam yanayoandaliwa na Mamlaka ya Undelezaji biashara nchini (Tan Trade) kwenye viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Wengi wa wananchi hao ni pamoja na wastaafu, wafanyakazi wa umma na binafsi ambao walifika kupata huduma mbalimbali lakini kubwa iliyovutia wengi kuuliza maswali ni jinsi ya kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS) unaomuwezsha mtu
yoyote aliye kwenye sekta rasmi na isiyo rasmi ili mradi awe na kazi inayomuinguizia kipato.
Akijibu maswali ya waliohitaji kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari, Meenja wa Mpango huo, Bi. Mwanjaa Sembe alisema, kujiunga na mpango hyuo ni bure na mtu
atakayejiunga atahitajika kuchangia shilingi kiwango chochote kila mwezi ambapo kiwango cha chini kabisa ni shilingi elfu kumi (10,000) tu.
Alisema mpango wa uchangiaji wa hiari licha ya kumuwezesha mwanachama kujiwekea akiba yake, lakini pia anafaidika na mafao mbalimbali ikiwemo fao la bima ya afya. Fao la elimu, fao la ujasiriamali, fao la uzeeni, fao la kujitoa na mikopo ya
nyumba na viwanja, haya yote yatategemea na jinsi unavyojiwekea akiba (michango)


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Charles Mwijage (kushoto), akipokea zawadi ambayo ni taarifa mbalimbali za Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutoka kwa Meneja wa Mpango wa uchangiaji wa Hiari, 9PSS), Bi. Mwanjaa Sembe, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo Julai 1, 2017. Kulia ni Afisa Uhusiano wa Mfuko huo, Coletha Mnyamani. Kushoto ni Mkuu wa Mawasiliano ya Serikali wizara ya Fedha na Mipango, Ben Mwaipaja.


 Afisa Uhusiano wa Mfuko huo, Coletha
Mnyamani (kushoto), akimhudumia mwananchi.
Afisa wa Polisi aliyefika kujua michango yake akipatiwa huduma na Afisa uendeshaji wa PSPF, Miteko Chaula.


Afisa Uendeshaji wa PSPF,  Irine J. Musetti, akimfafanulia jambo mwananchi huyu aliyefika kwenye banda la PSPF.


Mwanjaa Sembe (kulia), akisalimiana na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, Laura Kunenge, alipotembelea banda la PSPF.


Meneja wa Mpango wa uchangiaji wa Hiari (PSS), Mwanjaa Sembe (kulia), akimuhudumia mwananchi aliyefika kwenye banda la PSPF.


Afisa Uendeshaji wa PSPF, Irine J. Musetti akiwa kazini
  Afisa uendeshaji wa PSPF, Asmahan Haji na Afisa uendeshaji msaidizi, Win-God Simon Mushi, wakitazama taarifa fulani kwenye kompyuta.
 Afisa uendeshaji wa PSPF, Asmahan Haji (kulia), akimuhudumia mwananchi aliyefika kwenye banda la Mfuko huo.
 Afisa wa PSPF, Ali Sangura, akimpatia maelezo na ufafanuzi wa kina kuhusu huduma mbalimbali za Mfuko kwa wanachama wake, kwa mzee huyu mstaafu.
Afisa uendeshaji wa PSPF, Isack Kimaro (kulia), akimsikiliza mwanachama huyu wa Mfuko aliyefika kujipatia huduma

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAMIA WAFURIKA BANDA LA PSPF MAONESHO YA SABASABA YA 41 JIJINI DAR ES SALAAM
MAMIA WAFURIKA BANDA LA PSPF MAONESHO YA SABASABA YA 41 JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-soXuDgWyOdbVOrnwRNNK30v61FkEWBW_ATi4xaHGI7HHGzPoYQl5PV_0V_E01kRXYvIwterrZXxPvGaXWLPDFcctHg1D2w_qkhZdR2NvjtZ-FgelklMGwBXbCAKRkCHqi4OKFuLGai4/s640/5R5A8178.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-soXuDgWyOdbVOrnwRNNK30v61FkEWBW_ATi4xaHGI7HHGzPoYQl5PV_0V_E01kRXYvIwterrZXxPvGaXWLPDFcctHg1D2w_qkhZdR2NvjtZ-FgelklMGwBXbCAKRkCHqi4OKFuLGai4/s72-c/5R5A8178.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mamia-wafurika-banda-la-pspf-maonesho.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mamia-wafurika-banda-la-pspf-maonesho.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy