MAMA JANETH MAGUFULI AZUNGUMZA NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI KWA WAZEE WASIOJIWEZA 400 CHATO MKOANI GEITA

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Wazee 400 kutoka Wilaya ya Chato Bi. Winfrida Law...

unnamed
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Wazee 400 kutoka Wilaya ya Chato Bi. Winfrida Lawrent(65) kutoka Kata ya Kasenga kabla ya kuwakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo Kilo 10,000 za Mchele, Kilo 10,000 za Unga wa mahindi, Kilo 4000 Maharage, Mafuta, Sabuni pamoja na Sukari.
1
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Wazee 400 kutoka Wilaya ya Chato Bw. AnatoryBisate  (64) kabla ya kuwakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali ikiwemo Kilo 10,000 za Mchele, Kilo 10,000 za Unga wa mahindi, Maharage kilo 4000, Mafuta, Sabuni pamoja na Sukari.
2Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwakabidhi kwa pamoja mafuta waakilishi wa Wazee kutoka kata ya Kasenga AnatoryBisate  (64) kulia pamoja na Bi. Winfrida Lawrent(65) kushoto mara baada ya kuzungumza na wazee 400 katika Ukumbi wa Mshikamano SACCOS Chato mkoani Geita.
3
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiimba pamoja na wanakwaya wa Mwagazege mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mshikamano SACCOS Chato mkoani Geita.
4
Mama Janeth Magufuli akiwasili katika eneo la mkutano mara baada ya kupokewa  na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga Chato mkoani Geita.
5
Mama Janeth Magufuli akiwa na viongozi wengine wa mkoa akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga  wakwanza kushoto wakati wa dua kabla ya kuzungumza wazee wasiojiweza zaidi  ya 400.
6
Mama Janeth Magufuli akifurahi pamoja Naibu Waziri wa nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani wakati Kwaya ya Mwakazege ya kutoka Chato ilipokuwa ikitumbuiza kabla ya kuzungumza wazee wasiojiweza zaidi ya 400.
7
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akizungumza na Wazee wasiojiweza zaidi ya 400 kutoka Wilaya ya Chato katika Ukumbi wa Mshikamano Saccos.
8 9
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa, Wilaya na Chama waliojumuika na Waakilishi wa wazee wasiojiweza zaidi ya 400 Chato mkoani Geita.
10
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili.
11
Wazee wakishangilia wakati wa hotuba ya mgeni rasmi.
PICHA NA IKULU

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAMA JANETH MAGUFULI AZUNGUMZA NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI KWA WAZEE WASIOJIWEZA 400 CHATO MKOANI GEITA
MAMA JANETH MAGUFULI AZUNGUMZA NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI KWA WAZEE WASIOJIWEZA 400 CHATO MKOANI GEITA
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/07/unnamed-64.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mama-janeth-magufuli-azungumza-na-kutoa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mama-janeth-magufuli-azungumza-na-kutoa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy