Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimat...
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa wa nchi
ya Lesotho Mhe. Lesogo Makgothi (kushoto) ambaye alifika ofisini kwa
Makamu wa Rais kuwasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Dkt. John Pombe
Magufuli kutoka kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo ambapo Makamu wa Rais
aliupokea kwa niaba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais-Ikulu, Dar Es
Salaam)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa wa nchi ya
Lesotho Mhe. Lesogo Makgothi (kushoto) ambaye alifika ofisini kwa
Makamu wa Rais kuwasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Dkt. John Pombe
Magufuli kutoka kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo ambapo Makamu wa Rais
aliupokea kwa niaba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais-Ikulu, Dar Es
Salaam)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akipokea
Ujumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli kutoka kwa Waziri Mkuu wa nchi ya Lesotho na kukabidhiwa
na Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa wa nchi ya Lesotho
Mhe. Lesogo Makgothi (kushoto) ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es
Salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais-Ikulu, Dar Es Salaam)
COMMENTS