LAPF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA MIFUKO YA KIJAMII KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pension wa LAPF Bwana James Mlowe akipokea tuzo kutoka kwa Rais JP Magufuli baada ya LAPF kuwa...


Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pension wa LAPF Bwana James Mlowe akipokea
tuzo kutoka kwa Rais JP Magufuli baada ya LAPF kuwa mshindi wa Kwanza katika
maonyesho ya 41 ya sabasaba katika kategori ya mifuko ya Hifadhi ya jamii.
Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage
Jijini Dar es Salaam. 



Meneja masoko na mawasiliano wa Mfuko wa Pension wa LAPF, James Mlowe Akipokea tuzo kutoka kwa Rais wa JP Magufuli baada ya LAPF kuwa mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 41 ya sabasaba Jijini Dar es Salaam.







Tuzo ya Mshindi wa kwanza katika maonyesho ya 41 ya sabasaba katika viwanja vya Mwl JK Nyerere barabara ya Kilwa DSM. Tuzo hii ilikabidhiwa kwa Mfuko wa Pensheni wa LAPF na Raisi Dkt. John Pombe Magufuli Mapema Jijini Dar es Salaam.



Rehema Mkamba afisa mwandamizi masoko na mawalisiliano Bi Rehema mkamba akoionyesha tuzo baada ya LAPF Kuibuka mshindi wa kwanza katika kategori ua mifuko ya hifadhi ya jamii na bima kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba 2017 Mapema Jijini Dar es salaam.







Wafanyakazi wa LAPF nje ya banda lao wakifurahia tuzo yao ya kuwa mshindi wa kwanza
kategori ya mifuko ya Pensheni na Bima katika maonyesho ya 41 ya sabasaba
waliyokabidhiwa na Rais John Magufuli Julai 1 2017.









COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: LAPF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA MIFUKO YA KIJAMII KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
LAPF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA MIFUKO YA KIJAMII KWENYE MAONYESHO YA SABASABA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjD9HoAkViZRYDJ1IqAykYgG5ONiTmK50aVPrpyPi4SJ17RFiPmkXunVKs7qAIARSkKXBabiNsgfWJkyESex7kupIRpxUeqhn5eWF9bk3RF_b7WTdF9ZG4bdAYNBei7Y1XDiyabdTZj5Ao/s640/IMG-20170701-WA0268.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjD9HoAkViZRYDJ1IqAykYgG5ONiTmK50aVPrpyPi4SJ17RFiPmkXunVKs7qAIARSkKXBabiNsgfWJkyESex7kupIRpxUeqhn5eWF9bk3RF_b7WTdF9ZG4bdAYNBei7Y1XDiyabdTZj5Ao/s72-c/IMG-20170701-WA0268.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/lapf-yaibuka-kidedea-katika-mifuko-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/lapf-yaibuka-kidedea-katika-mifuko-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy