KUTANA NA 'TYRESE' WA TANZANIA AITWAYE BANYE

Elias Banyenza ndio jina alilopewa na wazazi wake, lakini anafahamika na wengi kwa jina la Banye. Anapenda kuimba na RnB ndio muziki...
Elias Banyenza ndio jina alilopewa na wazazi wake, lakini anafahamika na wengi kwa jina la Banye. Anapenda kuimba na RnB ndio muziki anao upenda zaidi. Banye alianza kuimba akiwa Sunday Schools na Talent Shows lakini alivutiwa zaidi na Mwanamziki Tyrese tangu alipomuona mara ya kwanza kwenye Tangazo la Coca-Cola la mwaka 1986 na kujaribu kumfuatisha jinsi alivyoimba kila mara lile Tangazo lilipopita. 
Watu wengi wakimuona kwa mara ya kwanza huwa wanahisi kama waliwahi kumuona sehemu nahisi hii ni kwa sababu waliwahi kuomuona kwenye sehemu zifuatazo:- Mwaka 2014/2015 alikuwa miongoni mwa wawashiriki 6 (Damian Soul, Grace Matata, Eli Daddy, Rogers Lucas, Myra) waliowakilisha Tanzania kwenye shindano la kuimba la Maisha Superstar nchini Kenya, kipindi hicho cha Tv kilirushwa na Maisha Magic ambapo walienda kushindana na washiriki wengine 12 kutoka nchi tofauti tofauti za Afrika Mashariki, walisimamiwa na Shaa, AY (Tanzania), Jose Chameleon, Maurice Kirya (Uganda), Nameless, King Kaka (Kenya) na Music Director alikuwa Eric Wanaina. 
Mwaka 2015/2016, alikuwa kati ya washiriki 5 (Nandy, Jeff, Kechu na Zouccu) waliochagulia kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano makubwa zaidi ya Karaoke kuwahi kutokea Afrika, Tecno Own The Stage Lagos nchini Nigeria, kipindi hicho kilirushwa na 'Africa Magic Showcase' ambapo pia alishindana na waimbaji wengine 14 kutoka sehemu mbalimbali za bara la Afrika. Kwenye shindano hili walikuwa chini ya usimamizi wa Yemi Alade, MI, ID Cabasa (Nigeria), Bien Soul/Saut Sol, Anto Neosoul (Kenya) and AY (Tanzania) 
Ndoto yake kubwa alitamani atoke kimuziki kupitia Mashindano ya kuimba, lakini hakuweza kufanya vizuri huko kwa sababu alikuwa anafanya multitasking…ikiwemo Shule,Kazi na Muziki kwa wakati mmoja hivyo kumpelekea kufanya maandalizi ya zima moto.
Ukiachana na Muziki Banye amesoma Masters of Business Administration in Marketing na Bachelor in Mass Communication na kabobea kwenye Mahausiano ya Jamii na Masoko. Na sasa kaamua kuingia studio na wimbo wake wa kwanza ni huo Brown Colour

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KUTANA NA 'TYRESE' WA TANZANIA AITWAYE BANYE
KUTANA NA 'TYRESE' WA TANZANIA AITWAYE BANYE
https://i.ytimg.com/vi/MlxOoXb-WkM/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/MlxOoXb-WkM/default.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/kutana-na-tyrese-wa-tanzania-aitwaye.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/kutana-na-tyrese-wa-tanzania-aitwaye.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy