YALIYOJIRI BUNGENI KWENYE KIKAO CHA 47 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO JUNE 14, 2017

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongoza Kikao cha 47 cha Mkutano wa saba wa Bun...


 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongoza Kikao cha 47 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 
 Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 
 Mbunge wa Ileje (CCM) Mhe. Janeth Mbene akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 Mbunge Viti Maalum (CCM) Mhe. Mwantumu Haji akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 Mbunge Kyerwa (CCM) Mhe. Innocent Bilakwate akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaju akijibu swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
  Mbunge Mdaba (CCM) Mhe. Joseph Mhagama akiuliza swali i katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 Mbunge Tunduru Kusini (CCM) Mhe. Daimu Mpakate akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
  Mbunge Viti Maalum (CCM) Mhe. Angelina Malembeka  akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Mbunge wa Buyungu Mhe.Kasuku Bilago (kushoto) katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akiwasili Bungeni kuhudhulia Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof Jumanne Maghembe (kushoto) katika  Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
 
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.

(Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: YALIYOJIRI BUNGENI KWENYE KIKAO CHA 47 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO JUNE 14, 2017
YALIYOJIRI BUNGENI KWENYE KIKAO CHA 47 CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 LEO JUNE 14, 2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiv_tr-HMxgewDsJ0agTp16MKDcEeqcSC6LwF6PTqTpa5yasmwKQnuucchyphenhyphenhi0OF4S_j6z7b2knZYQ_UmK2G5DGMYK_dJTgTKhZLioysjOQ8xl4AcLEGJyg9uCUBMGu-ynWwU9Pjm1i2bnV/s640/Pix+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiv_tr-HMxgewDsJ0agTp16MKDcEeqcSC6LwF6PTqTpa5yasmwKQnuucchyphenhyphenhi0OF4S_j6z7b2knZYQ_UmK2G5DGMYK_dJTgTKhZLioysjOQ8xl4AcLEGJyg9uCUBMGu-ynWwU9Pjm1i2bnV/s72-c/Pix+1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/yaliyojiri-bungeni-kwenye-kikao-cha-47.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/yaliyojiri-bungeni-kwenye-kikao-cha-47.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy