F YALITOJIRI LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA JUNI 7, 2017 | RobertOkanda

Wednesday, June 7, 2017

YALITOJIRI LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMA JUNI 7, 2017


unnamed
Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe. Daniel Nsanzugwako (kulia), akiteta jambo na Mbunge wa Madaba Mhe. Joseph Mhagama katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma June 7, 2017 (Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO).
 
unnamed
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Najma Giga akiongoza kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 07, 2017.
MABULA
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 41 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 5, 2017.
KISH
Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dk Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
KALEMANI
Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt, Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
MBALA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof Makame Mbarawa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Juni 7, 2017.
NCHE
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
FAU
Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk Faustine Ndugulile akiuliza swali katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.
MPANGO
 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akizungumza jambo na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe.Gerson Lwenge katika kikao cha 43 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 7, 2017.

0 comments:

Post a Comment