F WITO WA WADAU WA KUJA KUTOA MAONI KUHUSU MISWADA MITATU YA SHERIA | Okandablogs

Friday, June 30, 2017

WITO WA WADAU WA KUJA KUTOA MAONI KUHUSU MISWADA MITATU YA SHERIA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Pamoja iliyokuwa ikijadili miswada miwili ya sheria kuhusiana na usimamizi wa maliasili za Nchi. Kikao hicho kilifanyika Mjini Dodoma Juni 30, 2017 Katika Ukumbi wa Msekwa.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai pamoja baadhi ya wadau wakifuatilia mjadala katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Pamoja iliyokuwa ikijadili miswada miwili ya sheria kuhusiana na usimamizi wa maliasili za Nchi. Kikao hicho kilifanyika Mjini Dodoma Juni 30, 2017 Katika Ukumbi wa Msekwa.

0 comments:

Post a Comment