F WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA BARAZA LA EID KITAIFA MKOANI KILIMANJARO | RobertOkanda

Monday, June 26, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA BARAZA LA EID KITAIFA MKOANI KILIMANJARO(Juu na chini) Waziri Mkuu Kassim  Majaliwa akitoa Salamu za Serikali katika Baraza la Eid iliyo fanyika kitaifa katika Msikiti wa Masjidi Riadha Mjini Moshi Juni 26, 2017 Mkoani  Kilimanjaro


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakari  Zuberi alipokuwa akiwasili katika sala ya Eid iliyo fanyika kitaifa katika Msikiti wa Masjidi Riadha Mjini Moshi  June 26, 2017 Mkoani Kilimanjaro. (PICHA NA  OFISI  YA  WAZIRI  MKUU)
0 comments:

Post a Comment