Watanzania Waislam waishio DMV, Marekani wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eid el Fitr iliyofanyika...
Watanzania Waislam waishio DMV, Marekani wakijumuika pamoja na Waislam
wenzao DMV kwenye sala ya Eid el Fitr iliyofanyika kwenye msikiti wa
Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Silver Spring,
Maryland, nchini Marekani leo Juni 25, 2017
Watanzania Waislam DMV wakijumuika
pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika
kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire
Slver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika
pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika
kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire
Slver Spring, Maryland.
Sala ya Eid el Fitr ikiendelea.
Ukodak moment
COMMENTS