WANAHARAKATI 42 KATI YA 50 WAFIKA KILELE CHA UHURU, MLIMA KILIMANJARO KUCHANGIA KAMPENI ZA MAPAMBANO YA UKIMWI

Wanaharakati walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro wakiimba na kucheza wakati wakishuka kutoka Mlima Kilimanjaro. Ti...

Wanaharakati walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro wakiimba na kucheza wakati wakishuka kutoka Mlima Kilimanjaro.
Timu ya Wanaharakati 86 kutoka taasisi na kampuni mbalimbali walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusaidia mapambano dhidi ya Ukimwi wakishuka kutoka katika kilele cha Uhuru.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akijiandaa Timu ya  Wanaharakati wakati wakishuka kutoka kilele cha Uhuru ,Mlima Kilimanjaro.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Zara ,Zainabu Ansel (katikati) akiowangoza wanaharakati hao wakati wakishuka katika lango la Mwika.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Geita ,Herman Kapufi aliyeshiriki Changamoto ya kupanda Mlima  Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za mapambano ya Ukimwi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mngwira (kulia ) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Rombo ambaye ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Moshi, Agnes Hokororo (katikati) na Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi Aisha Amour (kushoto).

Baadhi ya Wanaharakati walioshiriki changamoto hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi TACAIDS, Dkt Leonard Maboko akizungumza katika hafla fupi ya kuwapokea wanaharakati hao.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akitoa hotuba yake ya kwanza wakati w hafla fupi ya kuwapokea wanaharakati hao.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akipeana mkono na Kaimu Mkurugenzi wa Mgodi wa dhahabu wa Geita,Richard Jordnson mara baada ya kutoa hotuba yake.
Wawakilishi wa Benki ya NMB,wakiongozwa na Meneja wa NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi ,Emanuel Kishosha wakifuatilia hafla hiyo ,NMB ni moja kati ya taasisi zilizochangia katika kufanikisha wanaharakati kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za mapambano dhidi ya Ukimwi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akitoa vyeti kwa wanaharakati 42 kati ya 50 waliopanda na kufanikiwa kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu, Richard Jordnson akitoa hotuba yake wakati wa hafla hiyo. 

Mkuu wa wilaya ya Rombo, Agnes Hokororo ambaye pia ni kaimu mkuu wa wilaya ya Moshi akizungumza wakati wa hafla fupi ya mapokezi ya wanaharakati walioshiriki zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za mapambano ya Ukimwi.
Kaimu mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Charles Ngendo akizungumza katika hafla hiyo. 

Wanaharakati katika changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za mapambano ya Ukimwi kupitia kampeni ya Kili Challange inayoratibiwa na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mngwira.

(Na Dixon Busagaga wa Busagaga,s Orijino Blog)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANAHARAKATI 42 KATI YA 50 WAFIKA KILELE CHA UHURU, MLIMA KILIMANJARO KUCHANGIA KAMPENI ZA MAPAMBANO YA UKIMWI
WANAHARAKATI 42 KATI YA 50 WAFIKA KILELE CHA UHURU, MLIMA KILIMANJARO KUCHANGIA KAMPENI ZA MAPAMBANO YA UKIMWI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgIph1er0Di7w1HMsDlBb2VzZv8bkDZiFA6vglhe3RJbHRiO67YCXX1aQLXO3Gg-zRw8NPVK4nS8AuAkCaJy-vUR_0K1UDPnzlK3czMlgB5ihBa5AhIc_4LOCXfPAG4wvNStNrIQT9eTsot/s640/_MG_9729.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgIph1er0Di7w1HMsDlBb2VzZv8bkDZiFA6vglhe3RJbHRiO67YCXX1aQLXO3Gg-zRw8NPVK4nS8AuAkCaJy-vUR_0K1UDPnzlK3czMlgB5ihBa5AhIc_4LOCXfPAG4wvNStNrIQT9eTsot/s72-c/_MG_9729.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/wanaharakati-42-kati-ya-50-wafika.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/wanaharakati-42-kati-ya-50-wafika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy