UMOJA WA WANAWAKE WA MAKANISA YA (E.P.CT) WATEMBELEA KITUO CHA (YDPC) TANGA

Tanga , SERIKALI imeshauriwa kuweka kanuni ya majengo ya gorofa na taasisi za huduma za kijamiii kujenga   miundombinu maalumu kwa walem...

Tanga, SERIKALI imeshauriwa kuweka kanuni ya majengo ya gorofa na taasisi za huduma za kijamiii kujenga  miundombinu maalumu kwa walemavu lengo ikiwa ni kuzifikia  huduma kama ilivyo kwa wengine.
Wakizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali vilivyokabidhiwa kwa uongozi wa Kituo cha Watoto Walemavu (YDPC), na kuishauri  kutoruhusu ujenzi wa majengo ya huduma za kijamii bila kuwepo kwa miundombinu ya walemavu.
Imesemwa kuwa majengo mengi ya huduma za kijamii hayana miundombinu kwa walemavu  hivyo kunyimwa fursa ya kupata huduma kama ilivyo kwa wengine.
Imesemwa  katika kongamano hilo, kuwa  kutokuwepo kwa sheria watu wengi hujenga majengo bila kuweka miundombinu ya walemavu.
Imesemwa kuna baadhi ya walemavu wa viungo  wenye elimu hupoteza nafasi ya kazi kutokana na majengo wanayopangiwa kazi kutokuwa na njia maalumu kwa walemavu wa viungo na kuwa kero kwao.



 Mtaalamu wa tiba sanifu kwa njia ya Mazoezi kwa njia ya Mazoezi na Vitendo, Amina Mbowe, akitoa maelekezo ya kazi wanazozifanya katika kitengo chake ikiwa na pamoja na kuwaonyesha vifaa vya mazoezi kwa watoto wenye ulemavu.

Mwanafunzi mlemavu kituo cha Watoto wenye Ulemavu wa viungo na ngozi, Imamu Amir, akipanda mbegu ya muhongo katika shamba la kituo hicho kijiji cha Mleni Amboni Tanga, ujumbe huo pia ulitembelea katika shamba hilo ambalo watoto walemavu wamekuwa wakiendesha kilimo cha chakula na mbogamboga.
 Mtaalamu wa kilimo kwa watoto walemavu kituo cha Walemavu, Sabra Swai akitoa maelekezo kwa ujumbe wa umoja wa wanawake wa Makanisa ya Free Pentacostal Church of Tanzania wakati walipotembelea shamba la Mleni ambalo watoto walemavu wa viungo, ngozi, viziwi na wengineo huendesha kilimo shamba lililoko kilometa 20 kutoka Tanga mjini.


Mkurugenzi wa kituo cha Watoto Walemavu (YDPC) William Hendry wa pili kulia akiongoza maombi na kutoa shukurani kwa Ujumbe wa Umoja wa Wanawake Makanisa Free Pentacoastal Church of Tanzania wakati alipopokea zawadi mbalimbali kwa kituo hicho. ( 
Imeandaliwa na blog ya kijamii ya tangakumekuchablog 0655 902929)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UMOJA WA WANAWAKE WA MAKANISA YA (E.P.CT) WATEMBELEA KITUO CHA (YDPC) TANGA
UMOJA WA WANAWAKE WA MAKANISA YA (E.P.CT) WATEMBELEA KITUO CHA (YDPC) TANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_eZckmX3Kh-fWNQd0qRrE0xhFWfWeviweJAG5AK1gXtST3DJEXGUtjIg4Zm8RBd3ZpoQCAe2zw6lW6bcorb6WtdHktts_inM_lLjPlx118_cvBy9POV4MMMvCNPs2WLDl_adExoLv0Xeq/s640/DSCN0324.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_eZckmX3Kh-fWNQd0qRrE0xhFWfWeviweJAG5AK1gXtST3DJEXGUtjIg4Zm8RBd3ZpoQCAe2zw6lW6bcorb6WtdHktts_inM_lLjPlx118_cvBy9POV4MMMvCNPs2WLDl_adExoLv0Xeq/s72-c/DSCN0324.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/umoja-wa-wanawake-wa-makanisa-ya-epct.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/umoja-wa-wanawake-wa-makanisa-ya-epct.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy