Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya soka ya Yanga Seneta Imani Maugila Madega Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii. ...
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya soka ya Yanga Seneta Imani Maugila Madega
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Mwenyekiti
wa zamani wa klabu ya soka ya Yanga Seneta Imani Maugila Madega
amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Shirikisho la soka nchini
Tanzania TFF.
Madega
anakua ni mtu wa pili kuchukua fomu ya Urais baada ya Rais anaemaliza
muda wake Jamal Malinzi kuchukua mapema asubuhi ya leo.
COMMENTS