F TIGO YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA MKOANI IRINGA | Okandablogs

Friday, June 23, 2017

TIGO YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA MKOANI IRINGAMkurugenzi wa kampuni ya Tigo Nyanda za juu kusini Bwana Jackson Kiswaga akizungumza na wananchi waliojitokeza wakati wa kugawa msaada katika kituo cha watoto Daily-bread kilichopo kata ya Nzihi, akiwa na baadhi ya viongozi wa kata hiyo.

Mwenyekiti wa kata ya Nzihi akifafanua jambo kwa wananchi na watoto wa kituo cha Daily-bread kilichopo kata ya Nzihi mkoani Iringa.


Baadhi ya watumishi wa kituo cha kulea watoto cha Daily-bread cha kata ya Nzihi  wakijitambulisha wao na watoto mbele ya
mkurugenzo wa kampuni ya Tigo nyanda za juu Kusini, Jackson Kiswaga hayupo pichani. 


Mkurugenzi wa Tigo kanda ya nyanda za juu kusini, Jackson Kiswaga akikabidhi misaada ya vyakula na mahitaji mengine  kwa vituo vya watoto wenye uhitaji vya Daily Bread Ahsante Sana na Kipera Disabled  mkoani Iringa juzi.


0 comments:

Post a Comment