F TIB CORPORATE BANK YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA | Okandablogs

Wednesday, June 21, 2017

TIB CORPORATE BANK YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMAMkurugenzi wa Uendeshaji wa TIB Corporate Bank Karoli Shayo akimhudumia mteja katika Tawi la Samora Dar es Salaam leo. Viongozi wa benki hiyo wamekua mstari wa mbele katika kuhudumia wateja ili kupata maoni na mrejesho utakaowezesha benki hiyo kutoa huduma bora zaidi.  Kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara Mwallu Mwachang’a, Meneja wa Rasilimali watu, Irene Ungani-Kyara na Meneja wa Ukaguzi wa ndani William Shetto. (Imeandaliwa Robert Okanda Blogspot)
Afisa Huduma kwa Wateja wa TIB Corporate Bank Janeth Burton akimhudumia mmoja wa wateja wa Benki hiyo tawini hapo leo. Kushoto  Meneja wa Ukaguzi wa ndani William Shetto.Mkurugenzi wa Biashara Mwallu Mwachang’a TIB Corporate Bank Karoli Shayo akimhudumia mteja katika Tawi la Samora Dar es Salaam leo. Pamoja naye ni Mkurugenzi wa Uendeshaji Meneja wa Rasilimali Watu, Irene Ungani-Kyara na Afisa Huduma kwa Wateja wa TIB Corporate Bank Janeth Burton.


Afisa Huduma kwa Wateja wa TIB Corporate Bank Janeth Burton akimwelekeza mteja namna ya kujaza fomu ya kufungulia akaunti.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mahusiano ya TIB Corporate Bank Theresia Soka akiwafafanulia jambo wateja wa benki hiyo leo.Meneja wa Ukaguzi wa ndani wa TIB Corporate Bank William Shetto akimkaribisha mteja aliyefika kupata huduma katika Tawi la Samora Dar es Salaam leo.  Kushoto ni Meneja wa Rasilimali watu, Irene Ungani-Kyara.


Meneja wa Ukaguzi wa ndani wa TIB Corporate Bank William Shetto akimhudumia mteja aliyefika kupata huduma katika Tawi la Samora Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Rasilimali watu, Irene Ungani-Kyara.
0 comments:

Post a Comment