TGGA YAKABIDHI VYETI KWA WALIOHITIMU MAFUNZO YA MWANAMKE KUJIAMINI, KUJITAMBUA NA KUWA JASIRI

Viongozi na walimu wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), wakishangilia baada ya kumaliza mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kujiamini, ...



Viongozi na walimu wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), wakishangilia baada ya kumaliza mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kujiamini, kujitambua na ujasiri katika kambi iliyofanyika hivi karibuni  eneo la Mombasa, Dar es Salaam. Zaidi ya 36 kutoka mikoa mbalimbali walishiriki kwenye mafunzo hayo. Pia katika mafunmzo hayo yaliyofanyika kwa wiki moja yalihudhuriwa na viongozi kutoka nchi za Uganda, Rwanda na Madagascar
Mgeni rasmi katika hafla ya kufungakambi hiyo yalifanywa na Katibu Mkuu wa TGGA Tanzania, Grace Shaba, ambaye aliwaasa kuyatumia vizuri mafunzo hayo kwenda kuanzisha kambi za kuwafundisha wanachama mikoani wanakotoka. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

 Baadhi ya wahitimu wa mafunzo hayo wakiruka kwa furaha

 Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba akimkabidhi cheti mmoja wa walimu waliohitimu mafunzo hayo.

 Grace Shaba akimkabidhi m cheti mmoja wa wahitimu kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Jestina Philip

 Grace Shaba akimkabidhi cheti Makamu Mwenyekiti wa TGGA Mkoa wa  Lindi, Sharifa

 Grace Shaba akimkabidhi cheti Happy wa Makao Makuu ya TGGA Dar es Salaam



 Mwalimu wa Girl Guides , Valentina akikabidhiwa cheti

 Kiongozi wa Girl Guides wa TGGA, Makao Makuu, Rehema Kijazi akipokea cheti kutoka kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Grace Shsba. Katikati ni Kamishna Rose.

 Michelle kutoka Rwanda akifurahi baada ya kukabidhiwa cheti

 Kiongozi wa Girl Guides kutoka Madagascar akipokea cheti

 Katibu wa TGGA Mkoa wa Lindi, akipokea cheti

 Kiongozi kutoka Tanga, akipokea cheti

 Twarhiya Hussein kutoka Lindi  mtoto pekee aliyehitimu mafunzo hayo na kufanya vizuri, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba.



 Rachel Baganyila kutoka Uganda akifurahi kupokea cheti

 Ni wakati wa kucheza ngoma


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TGGA YAKABIDHI VYETI KWA WALIOHITIMU MAFUNZO YA MWANAMKE KUJIAMINI, KUJITAMBUA NA KUWA JASIRI
TGGA YAKABIDHI VYETI KWA WALIOHITIMU MAFUNZO YA MWANAMKE KUJIAMINI, KUJITAMBUA NA KUWA JASIRI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhILmdjYE9dGHe3HwXT6SF5dncOW8nNPUGXbf9xnfYATyPhYqUJzQyLOYlNnfdnb8E3ECVajdCWEvaCRBzXuokgbg2Umdn1l1vn1WRJC9MkJnfl2wwOUgF_7CIjmCC39wqHbKm9ZKg9lP1i/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhILmdjYE9dGHe3HwXT6SF5dncOW8nNPUGXbf9xnfYATyPhYqUJzQyLOYlNnfdnb8E3ECVajdCWEvaCRBzXuokgbg2Umdn1l1vn1WRJC9MkJnfl2wwOUgF_7CIjmCC39wqHbKm9ZKg9lP1i/s72-c/01.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/tgga-yakabidhi-vyeti-kwa-waliohitimu.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/tgga-yakabidhi-vyeti-kwa-waliohitimu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy