F TASAF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA SHUGHULI ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI | RobertOkanda

Wednesday, June 14, 2017

TASAF YAIBUKA KIDEDEA KATIKA SHUGHULI ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI  Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu Mhe. Jennista Mhagama akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Ladislaus Mwamanga Cheti cha Ushindi wa Kwanza katika ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi nchini.
 


 Baadhi ya wafanyakazi wa TASAF wakifurahia ushindi wa kwanza ambao Mfuko huo umepata kwa mwaka 2017 kati ya mifuko 19 inayoshughulikia uwezeshaji wananchi kiuchumi.

0 comments:

Post a Comment