TANZIA; BRIGEDIA JENERALI ROMANUS MBILINYI WA JWTZ

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo   : “ N G O M E ”             Makao Makuu y...

logo[3]

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

Simu ya Upepo   : “N G O M E            Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM 22150463        Sanduku la Posta 9203,
Telex                  : 41051                DAR ES SALAAM,21Juni, 2017.
Tele Fax        : 2153426
Barua pepe    : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Tovuti        : www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Romanus Mbilinyi Hellela (mstaafu), kilichotokea tarehe 18 Juni, 2017 katika Hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mwili wa marehemu utaagwa rasmi tarehe 23 Juni, 2017 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo na mazishi yatafanyika saa 8.00 mchana katika makaburi ya Kinondoni.  

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi : 0756 716 085

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANZIA; BRIGEDIA JENERALI ROMANUS MBILINYI WA JWTZ
TANZIA; BRIGEDIA JENERALI ROMANUS MBILINYI WA JWTZ
https://lh5.googleusercontent.com/Pv2bsjCq9zNGIO-gFhFHde1xls9KHpXf15tljgAX0D-nKufheDk0cLcVqCM0Yu5NIuxHXZWafH9adjMiGK-K0HNE3ldel2c7qQtSMj79x6eaD8QwKFteDvqx3AKySzUbfftBdsFDAHksnnae2g
https://lh5.googleusercontent.com/Pv2bsjCq9zNGIO-gFhFHde1xls9KHpXf15tljgAX0D-nKufheDk0cLcVqCM0Yu5NIuxHXZWafH9adjMiGK-K0HNE3ldel2c7qQtSMj79x6eaD8QwKFteDvqx3AKySzUbfftBdsFDAHksnnae2g=s72-c
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/tanzia-brigedia-jenerali-romanus.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/tanzia-brigedia-jenerali-romanus.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy