TAASISI ZA KIBENKI ZATAKIWA KUBORESHA MIFUMO YAO YA KIUTENDAJI

Msajili wa Hazina Nchini Dkt ,Osward Mashindano akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Jengo la Ofisi mpya ya Benki ya TPB,ku...


Msajili wa Hazina Nchini Dkt ,Osward Mashindano akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Jengo la Ofisi mpya ya Benki ya TPB,kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu TPB,Sabasaba Moshingi ,ambapo ofisi hiyo  mpya ipo katika eneo la Mwanjelwa Jijini Mbeya.

Msajili wa Hazina Nchini Dkt ,Osward Mashindano akizindua jiwe la msingi katika benki ya TPB iliyopo eneo la Mwanjelwa.

Msajili wa Hazina Nchini Dkt ,Osward Mashindanoakizungumza katika hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la ofisi ya benki ya TPB Mwanjelwa.

Afisa Mtendaji Mkuu TPB  SabaSaba Moshingi ,kushoto akimkabidhi ripoti ya Mwaka Msajili wa Hazina Dkt Osward Mashindano katika hafla ya uzinduzi wa ofisi mpya ya jengo la Tpb Mwanjelwa jijini Mbeya.

Msajili wa Hazina Nchini Dkt ,Osward Mashindano akionesha kadi maalum aliyokabidhiwa na benki ya TPB mara baada ya kuzindua jengo hilo la ofisi eneo la mwanjelwa jijini Mbeya.

Meza kuu  katika picha ya Pamoja na wafanyakazi wa TPB.


TAASISI za kifedha nchini, zimetakiwa kuboresha mifumo ya utendaji kazi, ili kwenda sambamba na mabadiliko ya ukuaji wa uchumi.
Kauli hiyo, imetolewa leo na Msajili  wa Hazina Dkt .Osward Mashindano, wakati akizindua  Ofisi kuu ya Benki  ya TPB iliyoko katika eneo la Mwanjelwa Jijini Mbeya.
Amesema, wakati uchumi wa dunia unakua ni vema taasisi hizo zikajiimarisha kiutendaji ili  kukidhi vigezo vya ushindani wa kibiashara ndani na nje ya nchi.
Serikali imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha sekta za kifedha nchini zinatoa msukumo unaotakiwa kwenye shughuli za kiuchumi, hivyo ni wakati wenu nanyi kubadili mifumo ya utendaji kazi ili kwenda sambamba na ukuaji huo wa uchumi,alisema.
Aidha ametoa wito kwa taasisi za kifedha nchini kuhakikisha inaweka mazingira rafiki kwa wananchi wa kipato cha chini kwa kuweka gharama nafuu za huduma zao ili waweze kuzimudu.
Pia,  Mashindano ameipongeza benki  ya TPB kutokana na na jitihada zake za kupeleka huduma karibu na wananchi kwa kutumia teknolojia ya kisasa na mawakala.
Hata hivyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi, alisema benki hiyo imetoa gawio kwa serikali kiasi cha shilingi Bilioni 1.2 ambapo hundi hiyo inatarajiwa kukabidhiwa mjini Dodoma.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAASISI ZA KIBENKI ZATAKIWA KUBORESHA MIFUMO YAO YA KIUTENDAJI
TAASISI ZA KIBENKI ZATAKIWA KUBORESHA MIFUMO YAO YA KIUTENDAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicMNAT7a0WxZW3hhfamF0YR3lWg2m6UiFN5CBRUGB3jY7QXRh5tzO8r1ZTPFQ-s5LkhzR1-tqcwOBvyBOGuqd_SeRrM8tMzc7X5dI8CeemGXTWLhQ546BdL6NEI3xwcD1RW4JSOkoSbEY/s640/IMG-20170613-WA0023.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicMNAT7a0WxZW3hhfamF0YR3lWg2m6UiFN5CBRUGB3jY7QXRh5tzO8r1ZTPFQ-s5LkhzR1-tqcwOBvyBOGuqd_SeRrM8tMzc7X5dI8CeemGXTWLhQ546BdL6NEI3xwcD1RW4JSOkoSbEY/s72-c/IMG-20170613-WA0023.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/taasisi-za-kibenki-zatakiwa-kuboresha.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/taasisi-za-kibenki-zatakiwa-kuboresha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy