SSRA YAWAANDALIA SEMINA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI DAR DAR ES SALAAM

  Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii ( SSRA), Irene Isaka (katikati), akiwa katika d...

 

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (katikati), akiwa katika dawati la mapokezi akimuhudumia mteja kwa sura ya furaha katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma jijini Dar es Salaam. 
 
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka (wa pili kulia), akimsikiliza mteja kwa makini. 
Wafanyakazi wa SSRA wakiwahudumia wageni kwa sura ya bashasha. 
Mkurugenzi wa Tafiti, Tathimini na Sera akifafanunua baadhi ya mambo wakati wa semina ya hifadhi ya Jamii kwa maafisa Habari na mawasiliano serikalini. 
Mkurugenzi wa Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah Kibonde, akiwasilisha mada kuhusu hali ya hifadhi ya jamii nchini wakati semina kwa maafisa Habari na mawasiliano serikalini.
Maafisa Habari na mawasiliano serikalini wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa SSRA baada semina ya hifadhi ya Jamii iliyoandaliwa na SSRA kama sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. 
 
Mkuu wa kitengo cha Elimu kwa umma na mawasiliano toka Mamlaka ya Elimu Tanzania Bi. Silvia Lupembe akitoa neno la shukrani wakati wa semina ya hifadhi ya Jamii iliyoandaliwa na SSRA.  
Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi, Emmanuel Urembo akiwa kwenye dawati la mapokezi akimuhudumia mgeni aliefika kwenye ofisi za SSRA maeneo ya Kinondoni Moroco. 
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka akiwa na Wafanyakazi wa Mamlaka hiyo kwenye moja ya vikao vilivyoandaliwa katika wiki ya utumishi wa umma lengo likiwa ni kusikiliza na kutatua changamoto zao. 
 
Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wakifuatilia semina ya hifadhi ya jamii iliyoandaliwa na SSRA kama sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma 2017.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SSRA YAWAANDALIA SEMINA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI DAR DAR ES SALAAM
SSRA YAWAANDALIA SEMINA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI DAR DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhc4JG7dDmcXoCd72opri8i-beEHFoTYldLzbwfKdxsfyKRT4jpmmnickp1GcMR8CjLvT06KjvIuO2JlQW7PvfIRgoq6eehvstDKxitOQKBA8LTF5RrWdxi1cG7ZEL1TypL1ybwSUPzMIPn/s640/2017-06-24-PHOTO-00000002.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhc4JG7dDmcXoCd72opri8i-beEHFoTYldLzbwfKdxsfyKRT4jpmmnickp1GcMR8CjLvT06KjvIuO2JlQW7PvfIRgoq6eehvstDKxitOQKBA8LTF5RrWdxi1cG7ZEL1TypL1ybwSUPzMIPn/s72-c/2017-06-24-PHOTO-00000002.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/ssra-yawaandalia-semina-maafisa-habari.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/ssra-yawaandalia-semina-maafisa-habari.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy