F SPIKA NDUGAI AKUTANA NA CHAMA CHA ASKARI WASTAAFU WA VITA KUU YA PILI YA DUNIA OFISINI KWAKE MJINI DODOMA | Okandablogs

Tuesday, June 20, 2017

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA CHAMA CHA ASKARI WASTAAFU WA VITA KUU YA PILI YA DUNIA OFISINI KWAKE MJINI DODOMA


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akipokea Barua ya kujitambulisha na kuomba msaada wa mchango kwa ajili ya kufanya Mkutano Mkuu wa Chama cha Askari wastaafu kwa Vita kuu ya pili ya dunia waliopigana Mwaka 1939 – 1945 kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama hicho ambae ni Ndg. Bakari Ngonja, katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma Juni 20 2017.
 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akutana na kufanya mazungumzo na Chama cha Askari wastaafu wa Vita kuu ya pili ya dunia waliopigana Mwaka 1939 -1945 katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisisitiza jambo pale alipokutana na kufanya mazungumzo na Chama cha Askari wastaafu wa Vita kuu ya pili ya dunia waliopigana Mwaka 1939 -1945 katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

0 comments:

Post a Comment