SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VIRAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP

  Mshambuliaji wa Singida Utd, Nhivi Simbarashe (wa pili kulia) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa AFC Leopards, Joshua Mawira, (kuli...

 Mshambuliaji wa Singida Utd, Nhivi Simbarashe (wa pili kulia) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa AFC Leopards, Joshua Mawira, (kulia) wakati wa mchezo wa fungua dimba mashindano ya SportPesa Super Cup, yaliyoanza leo kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Wa pili (kushoto) ni  Marcus Abwao.  Katika mchezo huo uliomalizika hivi punde AFC Leopard wameibuka kidedea kwa ushindi wa penati 5-4 baada ya kumalizika dakika 90 zikiwa sare ya 1-1. Mchezo unaofuata hivi punde ni Yanga vs Tusker
 Wachezaji wa AFC Leopards, wapigwa na butwaa baada ya kufungwa bao katika dakika ya 10 kipindi cha kwanza.
Mchezaji wa Singida United, Mtasa Wisdom, akiruka kuokoa katikati ya wachezaji wa AFC Leopards.
 Hatari langoni mwa AFC Leopards
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa jukwaani wakifuatilia mchezo huo kabla ya wao kukipiga na Tusker katika mchezo wa pili

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VIRAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP
SINGIDA UTD YAFUNGASHIWA VIRAGO NA AFC LEOPARDS KATIKA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhbmh4L8Myl7xySfticYFtZChKIAccdpjcAP8Vdp4-jFKN-LX0wCnu7iijDTc-NEySAg1MmlpRzYSANOfIPlIqbG2rR4RkbxlQQKxbzi9ks4CtvsCXYeIAUMJP3qxHnU1RT8OS_9SnnbI/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhbmh4L8Myl7xySfticYFtZChKIAccdpjcAP8Vdp4-jFKN-LX0wCnu7iijDTc-NEySAg1MmlpRzYSANOfIPlIqbG2rR4RkbxlQQKxbzi9ks4CtvsCXYeIAUMJP3qxHnU1RT8OS_9SnnbI/s72-c/3.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/singida-utd-yafungashiwa-virago-na-afc.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/singida-utd-yafungashiwa-virago-na-afc.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy