SATF YAICHANGIA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) SHILINGI MILIONI 10 KWA AJILI YAUPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO WATANO

Meneja Miradi kutoka Social Action Trust Fund (SATF) Rogasian Massue akimkabidhi leo mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 Mkurug...


Meneja Miradi kutoka Social Action Trust Fund (SATF) Rogasian Massue akimkabidhi leo mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi fedha ambazo zitatumika kwa ajili ya kulipia gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto watano.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimshukuru Meneja Miradi kutoka Social Action Trust Fund (SATF) Rogasian Massue mara baada ya kumkabidhi leo mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 fedha ambazo zitatumika kwa ajili ya kulipia gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto watano.
Meneja Miradi kutoka Social Action Trust Fund (SATF) Rogasian Massue akimsalimia mtoto Goodluck Msele ambaye amefanyiwa upasuaji wa moyo hivi karibuni katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na hali yake inaendelea vizuri. SATF imechangia shilingi milioni 10 fedha ambazo zitatumika kwa ajili ya kulipia gharama za upasuaji wa moyo kwa watoto watano.
Daktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kwa Watoto na Mkuu wa Idara ya Upasuaji wa Moyo kwa Watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Godwin Sharau (katikati) akimwelezea Meneja Miradi kutoka Social Action Trust Fund (SATF) Rogasian Massue (kushoto) kuhusu aina mbalimbali za magonjwa ya moyo yanayowasumbua watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Kulia ni Msimamizi wa Wodi ya watoto Afisa Muuguzi Rogers Kibula.
Meneja Miradi kutoka Social Action Trust Fund (SATF) Rogasian Massue akimsikiliza Daktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kwa Watoto na Mkuu wa Idara ya Upasuaji wa Moyo kwa Watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Godwin Sharau wakati akimuelezea jinsi upasuaji wa moyo unavyofanyika katika Taasisi hiyo. (Picha na JKCI)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SATF YAICHANGIA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) SHILINGI MILIONI 10 KWA AJILI YAUPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO WATANO
SATF YAICHANGIA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) SHILINGI MILIONI 10 KWA AJILI YAUPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO WATANO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhg_NUH3Oki6QFCJSsVOuTut4iDmaPEfKG9SdECDoFsBeoqXwvqFWTpl8Q1iQzEN5R7zVD3J_bLMnoqOEkMQBzaDMFXDy5k1njvUv58gjFRYSdv-ft8RLevNj-yV-l-Jlyv2Xr_H1TwnEY/s640/unnamed-168.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhg_NUH3Oki6QFCJSsVOuTut4iDmaPEfKG9SdECDoFsBeoqXwvqFWTpl8Q1iQzEN5R7zVD3J_bLMnoqOEkMQBzaDMFXDy5k1njvUv58gjFRYSdv-ft8RLevNj-yV-l-Jlyv2Xr_H1TwnEY/s72-c/unnamed-168.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/satf-yaichangia-taasisi-ya-moyo-jakaya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/satf-yaichangia-taasisi-ya-moyo-jakaya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy