F RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MOROCCO | RobertOkanda

Friday, June 2, 2017

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MOROCCO


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morocco katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Abdelilah Benryane wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Morocco katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ikulu)

0 comments:

Post a Comment