F RAIS MSTAAFU MWINYI NA WASHINDI WA FAINALI YA MASHINDANO YA KITAIFA YA KUHIFADHI QURAN LEO | RobertOkanda

Sunday, June 4, 2017

RAIS MSTAAFU MWINYI NA WASHINDI WA FAINALI YA MASHINDANO YA KITAIFA YA KUHIFADHI QURAN LEO

Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (katikati) akiwa na wageni waalikwa na baadhi ya vijana walioibuka washindi kwenye fainali ya mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu kutoka Tanzania Bara na Visiwani yaliyofanyika ndani ya viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam Juni 4, chini ya uratibu wa Taasisi ya Al-Manahilul Irfan Islamic Centre. Wa pili kulia waliosimama ni Makamu wa Rais mstaafu, Dk Gharib Bilal


0 comments:

Post a Comment