RAIS MAGUFULI AMUAPISHA ANNA MGHWIRA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mgwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ...





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mgwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Mkuu wa mkoa kilimanjaro Anna Elisha Mgwira akisoma hati ya kiapo cha maadili ya utumishi wa umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam June 6, 2017
Mkuu wa mkoa kilimanjaro  Anna Elisha Mgwira akisaini hati ya kiapo cha maadili ya utumishi wa umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Mkuu wa mkoa kilimanjaro  Anna Elisha Mgwira akiongea jambo la shukrani  mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  jambo mara baada ya kumuapisha  Anna Elisha Mgwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro  Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Baadhi ya viongozi mabilimbali waliohudhuria kwenye uapisho Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro  Anna Elisha Mgwira  alipoapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Anna Elisha Mgwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Waziri Mkuu  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa  akimpongeza Anna Elisha Mgwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi  akimpongeza Anna Elisha Mgwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mara baaya ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira Mkuu mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika  picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira na viongozi mbalimbali ya serikali mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu  Rodrick Mpogoro akimkabidhi  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya Mkuu wa Mkoa huyo kwenda kuitekeleza ilani hiyo katika kazi yake ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro  mara baada ya kuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira kwa ajili ya kwenda kuanza kazi yake mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mgwira akiingia kwenye gari lake  kwa ajili ya kwenda kuanza kazi yake Mkoani kilimanjaro mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam June 6, 2017

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI AMUAPISHA ANNA MGHWIRA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO
RAIS MAGUFULI AMUAPISHA ANNA MGHWIRA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO
https://i.ytimg.com/vi/TgVroERMTXg/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/TgVroERMTXg/default.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/rais-magufuli-amuapisha-anna-mghwira.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/rais-magufuli-amuapisha-anna-mghwira.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy