Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Wilbroad Mutafungwa, akionyesha ngozi ya chui ambayo ni miongoni mwa nyara za serikali, ...
Kamanda
wa Polisi mkoani Tabora, Wilbroad Mutafungwa, akionyesha ngozi ya chui
ambayo ni miongoni mwa nyara za serikali, walizozikamata toka kwa
waganga wa jadi kwenye operesheni inayoendelea ya kuwatia mbaroni
waganga wa jadi mkoni humo ambao Polisi inadai, baadhi yao wamekuwa
wakichochea mauaji kutokana na shughuli zao.
Tunguri za waganga hao wa jadi.
COMMENTS