NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU KUANZIA LEO HADI SIKU KUMI

  Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa wanaoenda na wakati kadri siku zinavyo zidi kwenda kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku  hadi siku, ...


 
Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa wanaoenda na wakati kadri siku zinavyo zidi kwenda kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku  hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa wa kimaendeleo  Duniani hasa kwa kurahisisha vyanja za utendaji kazi katika biashara. 




Dar es Salaam  Kampuni ya Candy and Candy imekuja kivingine msimu huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya tulio uanzisha wa kiteknolojia “Nikohub”tumeanza mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwa muda wa siku kumi.

Ili upate kushiriki Futari unatakiwa ku-download  Nikohub kwenye Play Store katika simu yako. Kisha jiunge ili tuweze kukuona kwenye mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu 100 watakao kula futari leo.

Ukifanikiwa ku-downloda tutumie SMS au piga 0765802457 tukuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya huko uliko ni bure!.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU KUANZIA LEO HADI SIKU KUMI
NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU KUANZIA LEO HADI SIKU KUMI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRss3SuIGjyaf0qXfWnlgyZoRykWrLF7CrABCIgAijVh5_SVYkeiGruCUXTuM8UlkVCvYk91X-a5Jk9ajRowifpEem8cj6c8vS34zEdwnDHEOuWVV5JvOascPmpLgQgrvup29Kwgfe1dk/s320/NIKO+hub+3+.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRss3SuIGjyaf0qXfWnlgyZoRykWrLF7CrABCIgAijVh5_SVYkeiGruCUXTuM8UlkVCvYk91X-a5Jk9ajRowifpEem8cj6c8vS34zEdwnDHEOuWVV5JvOascPmpLgQgrvup29Kwgfe1dk/s72-c/NIKO+hub+3+.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/nikohub-tunafuturisha-watu-100-kila.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/nikohub-tunafuturisha-watu-100-kila.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy