NGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI KATIKA KRETA YA MLIMA KILIMANJARO.

Baadhi ya wapagazi Zaidi ya 300 wakijiandaa kwa ajili ya safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro katika Lango la Lemosho kusindikiza ugeni w...


Baadhi ya wapagazi Zaidi ya 300 wakijiandaa kwa ajili ya safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro katika Lango la Lemosho kusindikiza ugeni wa kundi la wanamichezo 60 wakiwemo wachezaji 30 wa timu za taifa kutoka mataifa mbalimbali nchin.
Wachezaji wa timu za taifa kutoka mataifa mbalimbali nchini, wakishuka katika gari mara baada ya kuwasili katika lango la Lemosho kwa ajili ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuweka historia ya kucheza mchezo a kirafiki eneo la Kreta katika kilele cha Uhuru.

Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ,Twiga Stras ambaye kwa sasa anakipiga timu ya IFA Academy ya nchini Dubai,Rajvi Ladha akifurahia jambo na Afisa Uhusiano Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Tengeneza.
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania ,Twiga Stars ,Rajvi Ladha akiandika jambo muda mfupi baada ya kuzungumza na wanahabari juu ya mchezo huo ,
Wachezaji wa timu za Volcano fc na Gracier fc wakikamilisha taratibu kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya mchezo wa kirafiki utakao pigwa June 26 mwaka huu katika kilele cha Uhuru.
Afisa Uhusiano Mkuu wa TTB ,Geofrey Tengeneza akipata taswira ya pamoja na wachezaji hao.
Afisa Uhusiano Mkuu wa Bodi ya Utalii nchini,TTB Geofrey Tengeneza akieleza jambo kwa wachezaji hao muda mfupi kabla ya kuanza safafri ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Mwakilishi wa Bodi ya Utalii nchini (TTB) Willy Lyimo akizungumza na wachezaji hao kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya wachezaji wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza safari ya kupanda Mlima Kilimanjao.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI KATIKA KRETA YA MLIMA KILIMANJARO.
NGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI KATIKA KRETA YA MLIMA KILIMANJARO.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaupS2Z_OjOh706xgAVji4sUsXI4utSnWTkqusFF6ymTCma5ZMqiUFgHGry_fzv21ArQMdghN1hFbBpjhf017NybHpXaVBJXBVZZbkcr5lKHvNaDVhIi4p-Igqi3fC_pC3C138PpwgYdW6/s640/_MG_0573.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaupS2Z_OjOh706xgAVji4sUsXI4utSnWTkqusFF6ymTCma5ZMqiUFgHGry_fzv21ArQMdghN1hFbBpjhf017NybHpXaVBJXBVZZbkcr5lKHvNaDVhIi4p-Igqi3fC_pC3C138PpwgYdW6/s72-c/_MG_0573.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/nguli-wa-timu-za-taifa-za-wanawake.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/nguli-wa-timu-za-taifa-za-wanawake.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy