MUFTI MKUU WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA AJILI YA SWALA YA EID EL FITRI.

Mufti wa Tanzania,Sheakh Abubakary Zubery akiwa katika lango la kutokea eneo la watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ki...


Mufti wa Tanzania,Sheakh Abubakary Zubery akiwa katika lango la kutokea eneo la watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) alipowasili jana mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya Swala ya Idd El- Fitr inayotaraji kufanika kitaifa mkoani humo.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery akitia aini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kilimajaro (KIA).
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubary Zubery akiteta jambo na Sheakh Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Msafara wa Mufti ukitoka katika uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) .
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubary Zubery akiwa na viongozi pamoja na waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wanawake wa Dini ya Kiislamu walipofika kwa ajili ya kumpokea Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery.
Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubery akiwasili katika mmoja wa miskiti iliyopo wilayani Hai kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi. 
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery akifungua kitambaa katika jiwe la Msini kuashiria kuendelea kwa ujenzi wa jingo hilo litakalo tumika kama Madrasa.
Jengo la Ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai ambalo Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery amefika kwa ajili ya uzinduzi wake.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery akisalimiana na waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya kuwasili katika ofisi za Bakwata wilaya ya Hai ka ajili ya ufunguzi wake.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery akizindua rasmi ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai.
Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubery akitia saini katika kitabu cha ageni mara baada ya kufungua rasmi ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai.
Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai
Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubery akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika mskiti wa masjid Shafi kwa ajili ya uzinduzi.
Mufti wa Tanzania,  Abubakary Zubery akizindua rasmi Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro.
Katibu wa Bakwata wilaya ya Hai, Mwl Mohamed Mbowe akisoma risala wakati wa uzinduzi rasmi wa msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai.
Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubery akizungumza mara baada ya kuzindua Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MUFTI MKUU WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA AJILI YA SWALA YA EID EL FITRI.
MUFTI MKUU WA TANZANIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA AJILI YA SWALA YA EID EL FITRI.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqXHaaJce9O8CpNFrOhS68qDYQIvP9Z_MN_P7X37IwjrqYwTtwV05RcTVkc4KVj90eUxClmuJlx2pScB277s8OAOBAWl3YV2tzauQbE4ifc_wr1lnc8bxcqntXINVMP-EnU9tFy8HmLmDt/s640/DSC_7374.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqXHaaJce9O8CpNFrOhS68qDYQIvP9Z_MN_P7X37IwjrqYwTtwV05RcTVkc4KVj90eUxClmuJlx2pScB277s8OAOBAWl3YV2tzauQbE4ifc_wr1lnc8bxcqntXINVMP-EnU9tFy8HmLmDt/s72-c/DSC_7374.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/mufti-mkuu-wa-tanzania-awasili-mkoani.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/mufti-mkuu-wa-tanzania-awasili-mkoani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy