F MTOTO WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONGOZA WENZAKE KUNYAKUA MEDALI ZA DHAHABU MASHINDANO YA GENIUS OLYMPIAN NCHINI MAREKANI | RobertOkanda

Tuesday, June 20, 2017

MTOTO WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONGOZA WENZAKE KUNYAKUA MEDALI ZA DHAHABU MASHINDANO YA GENIUS OLYMPIAN NCHINI MAREKANI


Wanafunzi wa shule ya kimataifa, Feza ya jijini Dar es Salaam, Abdulrazak Juma, (kushoto), Rashid Jakaya Kikwete (katikati) na Abdallah Rubeya wakiwa na furaha  baada ya kushinda medani za dhahabu kwenye mashindano ya Genus Olympian nchini Marekani juzi. Zaidi ya nchi 63 Dunian kote zilishiriki mashindano hayo.
 

0 comments:

Post a Comment