MOTO WAATHIRI MIUNDOMBINU YA UMEME MKOANI RUKWA

NA MWANDISHI WA K-VIS BLOG WATU wasiojulikana wamechoma msitu wa Kirando wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa ambao umeunguza miundombin...






NA MWANDISHI WA K-VIS BLOG
WATU wasiojulikana wamechoma msitu
wa Kirando wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa ambao umeunguza miundombinu ya umeme ya Shirika la umeme Nchini TANESCO.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jioni hii Juni 24, 2017 na Kaimu Meneja Uhusinao wa TANESCO makao Makuu, Leila Muhaji, imesema, uharibifu huo mkubwa wa miundombinu umeathiri upatikanaji wa umeme kwa wateja wa maeneo ya Kirando na Kipili wanaopata huduma ya umeme ya njia ya msongo mkubwa wa umeme unaopita kwenye maeneo hayo.
“Mafundi wa TANESCO waliofika kwenye eneo hilo, wameshuhudia uharibifu mkubwa ambapo miundombinu ya umeme imeungua na kusababisha hasara kubwa.” Alisema Bi Leila katika taarifa yake kwa vyombo vya habari.
Bi Leila amesema TANESCO inawaomba
wananchi wote waishio kwenye maeneo hayo kutoa taarifa kwenye ofisi za TANESCO au kituo cha polisi kilicho karibu ili kuokoa miundombinu ya umeme kwa manufaa ya taifa.
Amesema, tayari vyombo vya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na TANESCO wameanza msako ili kuwabaini wahusika ili sheria ichukue mondo wake.


 Afisa wa polisi akiwa eneo la tukio huku akishuhudia jinsi moto huo ulivyoathiri nguzo za umeme

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MOTO WAATHIRI MIUNDOMBINU YA UMEME MKOANI RUKWA
MOTO WAATHIRI MIUNDOMBINU YA UMEME MKOANI RUKWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLdVJJm9tIEp0cIMZ1p8MlmpdT9sSlVhC9Fn3NH_h7bqjBKsUqqhnECylnOvRY4Q_6urIQ-S0gE1HomtdwDtMVRNr6nPYF5ZdUHKimiNcCZF136aq3fixGsG27yXvJgbdsW2I8o_94wm0/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLdVJJm9tIEp0cIMZ1p8MlmpdT9sSlVhC9Fn3NH_h7bqjBKsUqqhnECylnOvRY4Q_6urIQ-S0gE1HomtdwDtMVRNr6nPYF5ZdUHKimiNcCZF136aq3fixGsG27yXvJgbdsW2I8o_94wm0/s72-c/3.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/moto-waathiri-miundombinu-ya-umeme.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/moto-waathiri-miundombinu-ya-umeme.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy