F MNADA WA KUTOKANA NA KUTOLIPA KODI YA PANGO LA ARDHI KUFNAYIKA DAR | RobertOkanda

Tuesday, June 6, 2017

MNADA WA KUTOKANA NA KUTOLIPA KODI YA PANGO LA ARDHI KUFNAYIKA DAR


Msolopa Investments Company LimitedMIC LOGO 1
P.O.BOX 40561 Tel: 0717 – 436066, Fax: 0736 608 103 Dealers in: Land and housing Tribunal Broker Auctioneers Bailiff Debt Collections and General SuppliesLocation: Nkrumah / Street, Plot    NO.1083/157ApartmentNO.101,IlalaDistrict,Dar es Salaam, Tanzania.
Email: Msolopa.investment@yahoo.com
 
TANGAZO LA MNADA WA HADHARA
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INATANGAZA MINADA YA VIWANJA KWA WALIOSHINDWA KULIPA KODI NA HATA BAADA YA KUPELEKEWA AMRI YA MAHAKAMA (BARAZA ARDHI NA NYUMBA WILAYA YA TEMEKE) KUPITIA DALALI WA MAHAKAMA MSOLOPA INVESTMENT COMPANY LTD WAMESHINDWA KULIPIA VIWANJA HIVYO.
WIZARA INATANGAZA MNADA WA HADHARA UTAKAOSIMAMIWA NA KAMPUNI YA MSOLOPA INVESTMENT KAMA JEDWALI LINAVYOONESHA


S/N

SHAURI NO

WAHUSIKA

BARAZA LA

MAELEZO YA KIWANJA

TAREHE YA MNADA

1

89/2015
COMMISSIONER FOR LAND
V/S
JOSHUA ENERST MASAKA T/A
SANT EMMANUEL HIGH SCHOOL

TEMEKE
SQM 47300 ID NO 233182 PLOT NO 2068 BLOCK D TEMEKE CHAMAZI MATUMIZI SHULE

17/06/2017 SAA 4:00 NA KUENDELEA

2

102/2015

COMMISSIONER FOR LAND  
V/S
TANZANIA HOUSE BUSINESS COMPANY LTD

TEMEKE
PLOT NO 450 BLOCK A. AMANI  GOMVU MATUMIZI BIASHARA TEMEKE 22.77

17/06/2017 SAA 6:00 NA KUENDELEA

3

122/2015

COMMISSIONER FOR LAND
V/S
MAJID SEIF

TEMEKE
PLOT 1037 BLOCK C HATI NO 50235 MTONI KIJICHI TEMEKE
17/06/2017 SAA 8:00 MCHANA NA KUENDELEA

MASHARTI YA MNADA

  1. MNUNUZI ATATAKIWA KULIPA ASILIMIA 25% YA BEI ILIYOFIKIWA KATIKA MNADA NA SALIO LILIPWE NDANI YA SIKU 14. AKISHINDWA KUFANYA HIVYO MAUZO YATABATILISHWA NA MNADA UTARUDIWA
  2. GHARAMA ZOZOTE ZITAKAZOJITOKEZA KATIKA KUBADILISHA UMILIKI ZITABEBWA NA MNUNUZI.
  3. UKAGUZI WA MAENEO UNAFANYIKA SIKU MOJA KABLA YA MNADA

MAWASILIANO ZAIDI PIGA NO ZIFUATAZO
0719 867124/0767 666767

0 comments:

Post a Comment