Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Christopher Ole Sendeka akiweka jiwe la msingi kwenye nyumba za waalimu shule ya sekondari ya wasich...
Mkuu
wa Mkoa wa Njombe Mh. Christopher Ole Sendeka akiweka jiwe la msingi
kwenye nyumba za waalimu shule ya sekondari ya wasichana Anne
Makinda.Nyumba zenye uwezo wa kuishi waalimu 6 katika nyumba moja "6 in
1".
Mkuu
wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akikagua uimara wa milango
kwenye moja ya madarasa katika shule ya sekondari ya wasichana Anne
Makinda.Nyuma yake ni Mh. Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri.
Mkuu
wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka akisisitiza jambo kwa
Wananchi (hawapo pichani) kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika
kijiji cha Luponde mara baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye jengo la
OPD kituo cha afya Luponde wa kwanza kushoto kwake ni Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Mji Njombe Edwin Mwanzinga
Wananchi wa Kijiji cha Luponde wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa katika mkutano wa hadhara
Mkuu
wa Mkoa wa Njombe akiwa katika Picha ya pamoja na uongozi wa wanafunzi
shule ya sekondari ya wasichana Anne Makinda,Shule hiyo ya Kata ilifanya
vizuri katika matokeo ya kidato cha nne mwaka jana na kushika nafasi ya
Tano Kimkoa na Nafasi ya Kwanza Kiwilaya.
COMMENTS