Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza na maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi alipofanya kikao na maa...
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akizungumza na
maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi alipofanya kikao na maafisa hao akiwa
kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kabla ya kwenda kujitambulisha
kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Ali Mohamed Shein. Kulia ni Kamishna wa
Polisi Zanzibar CP Hamdani makame. (Picha na Hassan Mndeme).
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na wajumbe wa
kamati ya ulinzi na usalama ya zanzibar alipokwenda kufanya kikao na
kamati hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar. IGP
alikwenda pia kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Dk Ali
Mohamed Shein.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na wajumbe wa

COMMENTS