F "MATUTA" YAIPELEKA YANGA NUSU FAINALI YA SPORTSPESA SUPER CUP 2017 | RobertOkanda

Monday, June 5, 2017

"MATUTA" YAIPELEKA YANGA NUSU FAINALI YA SPORTSPESA SUPER CUP 2017juma-mwambusi-na-wachezaji-yanga_1l9wiebjm5r4l1hffdqpwv58e2
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga imeungana na AFC Leopard ya Kenya kuingia nusu fainali ya michuano hiyo baada ya kuitoa Tusker pia ya Kenya kwa mikwaju ya penati. Katika mchezo wa fungua dimba ya michuano hiyo uliowakutanisha Singida United inayofundishwa na Mholanzi, Hans Van Der Pluijm kutolewa mashindanoni kwa mikwaju ya penati 5-4. Yanga nayo ililazimika kuingia nusu fainali kwa changamoto ya mikwaju ya penati baada ya kwenda sare na AFC Leopard bila kufungana katika muda wa kawaida. Yanga imeitoa ACF Leopard kwa mikwaju ya penati 4-2.

0 comments:

Post a Comment