MAONESHO YA SWAHILI FASHION WEEK YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

Balozi wa Italia Nchini Tanzania, Roberto Mengoni (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunifu wa Mavazi nguli Mustafa Hassanal pia Mwasisi...


Balozi wa Italia Nchini Tanzania, Roberto Mengoni (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunifu wa Mavazi nguli Mustafa Hassanal pia Mwasisi na Mtendaji Mkuu wa Basila Mwanukuzi Foundation, Basila Mwanukuzi katika maonesho ya Mavazi na bidhaa za Kitamaduni nyumbani kwa Balozi huyo Kando ya Barabara ya Kenyatta Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Maonesho hayo yaliratibiwa na Swahili Fashion Week. (Picha zote na Robert Okanda Blogspot)

Mbunifu wa Mavazi nguli Mustafa Hassanal akiwa pamoja na Mbunifu mavazi Mkongwe Ailinda Sawe (kulia) na Mbunifu mchanga, Binti wa Ailinda walipokutana katika maonesho hayo.


Mbunifu wa mavazi, Maryimaqulate Kavishe (kulia) akiwahudumia wageni waliotembelea kununua bidhaa zake wakati wa maonesho hayo.

Mbunifu wa mavazi, Jesca Matei (kushoto) akiwasikiliza wageni waliotembelea kununua bidhaa zake wakati wa maonesho hayo.

Mshiriki wa maonesho hayo Coleta Mzena (kushoto)  akitabasamu kwa kamera pamoja na wageni waliotembelea kununua bidhaa zake wakati wa maonesho hayo.

William Gilhi akiwaonesha wageni bidhaa za Kampuni ya African Splash zinazopatikana pia online walipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonesho hayo.

Kazi za michoro pia zilikuwepo katika maonesho hayo.
Wageni bidhaa wakichagua bidhaa zizizowavutia walipotembelea moja ya mabanda katika maonesho hayo.
Hapo upo saafi' Mbunifu wa Agretifela, Agnes Felician akimhamasisha mteja wake kununua moja ya bidhaa katika banda lake. 
Wabunifu wa Giftedhand, wakiwa katika banda lao.

Wageni wakijionea bidhaa walipotembelea mojawapo ya mabanda katika maonesho hayo.







Add caption

Mbunifu nguli Jamila Vera Swai naye akiandaa bidhaa zake kwa wageni waliojitokeza katika maonesho hayo.

Mbunifu wa Mavazi nguli Mustafa Hassanal akiwa katika kumbukumbu na  Mwasisi na Mtendaji Mkuu wa Basila Mwanukuzi Foundation, Basila Mwanukuzi katika maonesho ya Mavazi na bidhaa za Kitamaduni nyumbani kwa Balozi wa Italia Kando ya Barabara ya Kenyatta Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Maonesho hayo yaliratibiwa na Swahili Fashion Week.

Mbunifu wa Mavazi pia Mtendaji Mkuu wa Kasikana Collection, Bertha Komba (kushoto) akiwa na Modal Bint Sadiq katika maonesho hayo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAONESHO YA SWAHILI FASHION WEEK YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
MAONESHO YA SWAHILI FASHION WEEK YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_WJHBCIurwi9Bz9USdXTyvC9ph0OP3czVI6SZ1mHPASu2WHWRxsdZsFT_FL-BQknHI-_ztCycfj3PQylwPQROqsLZYDNvzstm10dPcDszGo0Ar_E4YO-HDkyitRNkM-qiDtrOYK5oQK0/s640/AB.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_WJHBCIurwi9Bz9USdXTyvC9ph0OP3czVI6SZ1mHPASu2WHWRxsdZsFT_FL-BQknHI-_ztCycfj3PQylwPQROqsLZYDNvzstm10dPcDszGo0Ar_E4YO-HDkyitRNkM-qiDtrOYK5oQK0/s72-c/AB.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/maonensho-ya-swahili-fashion-week.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/maonensho-ya-swahili-fashion-week.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy