Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya fu...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira
kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni
ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania . (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
Baadhi
ya vijana wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakizungumzwaa
kwenye ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo
vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira
kwa wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi.
Sehemu
ya Vijana waliojitokeza kwenye ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za
ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo
makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa
mgeni rasmi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa
wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya
China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania . (Picha na Ofisi ya Makamu
wa Rais)
Balozi wa China nchini Dkt.Lu Youqing akizungumza kwenye
ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu
kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa
wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi.
Sehemu
ya Vijana waliojitokeza kwenye ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za
ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo
makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa
mgeni rasmi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye picha ya pamoja na balozi wa China nchini Dkt.Lu Youqing ,MAKAMU
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala na
viongozi wengine wa Serikali na wa Chama cha Wafanyabiashara wa China
nchini Tazania mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania.
COMMENTS