F MAJALIWA AFUTURISHA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE | RobertOkanda

Friday, June 9, 2017

MAJALIWA AFUTURISHA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Balozi wa Morocco nchini, Mheshimiwa  Abdelilah Benrwayane katika futari aliyoiandaa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Juni 8, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge, Azan Mussa Zungu (kulia kwake), Mbunge wa Mbarali, Haroon Mulla Pirmohamed  (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa, Valentino Mlowola katika futari iliyoandaliwa wa Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mbunge wa Nsimbo, Mhandisi Richard Mbogo baada kufuturisha kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2017.

0 comments:

Post a Comment